Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Kesho anazikwa sasa... Duh! Una low IQ sana wewe mjinga! Rejea post #325 (quoted above) ni nani? Halafu unajiona una akili kweli kweli kumbe unajiroresha tu humu!
Kumbe mchaga... Duh! Una low IQ sana wewe mjinga! Rejea post #325 (quoted above) ni nani? Halafu unajiona una akili kweli kweli kumbe unajiroresha tu humu!
Na cha kushangaza wanajitetea humu eti wamama wengine wachoyo ndo mana wanawaua.. Daah!!, Nimechoka asee..unauwa Mama mama mama sisi tunatafuta Mama tuomba Mama angekua hai ale mema yetu🥲🥲🥲[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wewe unamchinja mama aliye beba mimba miezi 9 akakuzaa kwa uchungu usiku na Mchana akulala kwa ajili yako unamchinja Mama kweli Mungu Mungu uko wapi kwanini uliruhusu hii Mungu wangu[emoji24]🥲[emoji24][emoji24][emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24] .
Makasiriko ya kuzaliwa kwa mganga,mkiona mtu anamali mnawaza kazipataje fanyeni kazi acheni ulonzikawaida ya watu wa kaskazini tujiulize maswali je kwanini huyu binti alikuwa hana baba?? au baba yake alishafariki akabaki na mama yake nini chanzo cha kifo cha baba yake?? je huyu binti sio mmachame??,au mama naye alikuwa analipa madhambi yake ya huko nyuma?? tukumbuke lile unalolipanda ndio utakalo livuna hii iwe fundisho kwa akina mama wa akina meku sehem fulani maana wengi wao ukiwa moshi pale woote wajane waume zao walishaga fariki kitambo vifo vya utata sana wamewaachia mali yakutosha wao wamebakia kuwa na vidogo dogo mtaani huku wakiwa na mali ya kutosha labda labda labda marehemu alikuwa mtu safi lakini wale wanawake wa kaskazini mbona tunawajua tabia zao
Anyway apumzike mahali anapostahili
... unadhihirisha ulivyo na iq ya kuku; you were asked a very simple question, unajua kabila langu? mara oooh! wapi nimetaja kabila mara kumbe mchaga? Huna akili!Kumbe mchaga
mwizi mwizi
Sheitwain wahed
.... kwa iq yako that's the best you can deliver! Foolish!Kesho anazikwa sasa
punguza shobo
Unajiona mjuaji[emoji1787][emoji848]
mbaf..
Ukishikwa kunako... unadhihirisha ulivyo na iq ya kuku; you were asked a very simple question, unajua kabila langu? mara oooh! wapi nimetaja kabila mara kumbe mchaga? Huna akili!
Memkwa huwa hamjifichi.... kwa iq yako that's the best you can deliver! Foolish!
... na wewe tema kuna aliyekuzuia? Angalia inconsistence ya statements zako hapo juu.Ukishikwa kunako
Unakuja na viingilish coz vyako
Halafu unajiona msomi unatema yai mwenyewe
Mjanja mjanja dunia umemaliza
Kapuku wewe ngoja nikuweke kwa[emoji706][emoji706][emoji706]
... iq ya kuku!Memkwa huwa hamjifichi
mpo kama pembe la nyumbu
Utakuwa chakura... na wewe tema kuna aliyekuzuia? Angalia inconsistence ya statements zako hapo juu.
MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA
• Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe
•Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na Kutatua Jinai Mbali Mbali
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.
Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.
Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.
Akizingumza Kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.
Namnukuu
"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole Kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya taamaa Mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito Kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia Mali na starehe mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki, yaani unamuua mama mzazi?
Hivi unakuwa huoogopi laana na adhabu ya mola? nalipongeza Jeshi letu la Polisi Kwa hatua hii nawatia Moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao".
mwisho wa kunukuu.
Tayari madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem Mwili huo kwajili ya hatua zinazofuata.
#MoshiBlog UpdatesView attachment 2075108
View attachment 2075109
... endelea ku-expose upumbavu wako; una iq kiduchu sana ndugu!Utakuwa chakura
Sio bure
Nimeshakuwa ndugu yako[emoji848]... endelea ku-expose upumbavu wako; una iq kiduchu sana ndugu!
... still exposing your stupidity? Poor you!Nimeshakuwa ndugu yako[emoji848]
Mwenye low iq kwa mujibu wa maandiko yako
Sikiliza ewe punguani
Mind your own business
F**&
Chaga uaji na jambazi... still exposing your stupidity? Poor you!
... umeishiwa "vocabulary"? Unarudia mule mule; ubongo wa kuku haujifichi.Chaga uaji na jambazi
Kabila yenu ipo na laana
punguani wewe
Huyo angebaki tumboni angemsababishia Mama yake kansa.Wewe una tatizo Kama wenzio na una mawazo hayo hayo huwezi kutetea unyama huo, mzazi akupe ulimsaidia kuzitafuta tafuta zako, kazi yenyewe nesi apige shift za asubuhi, mchana na usiku akulishe, kukuvisha na kukusomesha umekua mkubwa badala ya kufikiria utamsaidiaje mzazi baada ya yeye kustaafu wewe unawaza akugawie mafao, Bora ungebaki tumboni kwa kweli