Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

... Duh! Una low IQ sana wewe mjinga! Rejea post #325 (quoted above) ni nani? Halafu unajiona una akili kweli kweli kumbe unajiroresha tu humu!
Kesho anazikwa sasa

punguza shobo

Unajiona mjuaji[emoji1787][emoji848]

mbaf..
 
... Duh! Una low IQ sana wewe mjinga! Rejea post #325 (quoted above) ni nani? Halafu unajiona una akili kweli kweli kumbe unajiroresha tu humu!
Kumbe mchaga

mwizi mwizi

Sheitwain wahed
 
unauwa Mama mama mama sisi tunatafuta Mama tuomba Mama angekua hai ale mema yetu🥲🥲🥲[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] wewe unamchinja mama aliye beba mimba miezi 9 akakuzaa kwa uchungu usiku na Mchana akulala kwa ajili yako unamchinja Mama kweli Mungu Mungu uko wapi kwanini uliruhusu hii Mungu wangu[emoji24]🥲[emoji24][emoji24][emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24]🥲[emoji24] .
Na cha kushangaza wanajitetea humu eti wamama wengine wachoyo ndo mana wanawaua.. Daah!!, Nimechoka asee..
 
kawaida ya watu wa kaskazini tujiulize maswali je kwanini huyu binti alikuwa hana baba?? au baba yake alishafariki akabaki na mama yake nini chanzo cha kifo cha baba yake?? je huyu binti sio mmachame??,au mama naye alikuwa analipa madhambi yake ya huko nyuma?? tukumbuke lile unalolipanda ndio utakalo livuna hii iwe fundisho kwa akina mama wa akina meku sehem fulani maana wengi wao ukiwa moshi pale woote wajane waume zao walishaga fariki kitambo vifo vya utata sana wamewaachia mali yakutosha wao wamebakia kuwa na vidogo dogo mtaani huku wakiwa na mali ya kutosha labda labda labda marehemu alikuwa mtu safi lakini wale wanawake wa kaskazini mbona tunawajua tabia zao
Anyway apumzike mahali anapostahili
Makasiriko ya kuzaliwa kwa mganga,mkiona mtu anamali mnawaza kazipataje fanyeni kazi acheni ulonzi
 
Kumbe mchaga

mwizi mwizi

Sheitwain wahed
... unadhihirisha ulivyo na iq ya kuku; you were asked a very simple question, unajua kabila langu? mara oooh! wapi nimetaja kabila mara kumbe mchaga? Huna akili!
 
... unadhihirisha ulivyo na iq ya kuku; you were asked a very simple question, unajua kabila langu? mara oooh! wapi nimetaja kabila mara kumbe mchaga? Huna akili!
Ukishikwa kunako

Unakuja na viingilish coz vyako

Halafu unajiona msomi unatema yai mwenyewe

Mjanja mjanja dunia umemaliza

Kapuku wewe ngoja nikuweke kwa[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ukishikwa kunako

Unakuja na viingilish coz vyako

Halafu unajiona msomi unatema yai mwenyewe

Mjanja mjanja dunia umemaliza

Kapuku wewe ngoja nikuweke kwa[emoji706][emoji706][emoji706]
... na wewe tema kuna aliyekuzuia? Angalia inconsistence ya statements zako hapo juu.
 

MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA

• Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe
•Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na Kutatua Jinai Mbali Mbali


Ikiwa zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.

Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.

Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.

Akizingumza Kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.
Namnukuu

"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole Kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya taamaa Mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito Kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia Mali na starehe mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki, yaani unamuua mama mzazi?

Hivi unakuwa huoogopi laana na adhabu ya mola? nalipongeza Jeshi letu la Polisi Kwa hatua hii nawatia Moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao".


mwisho wa kunukuu.

Tayari madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem Mwili huo kwajili ya hatua zinazofuata.

#MoshiBlog UpdatesView attachment 2075108

View attachment 2075109


Huyu Wendy ni mtanzania kweli!?

Rest well mama Ipepu
 
... endelea ku-expose upumbavu wako; una iq kiduchu sana ndugu!
Nimeshakuwa ndugu yako[emoji848]

Mwenye low iq kwa mujibu wa maandiko yako

Sikiliza ewe punguani

Mind your own business

F**&
 
Tukio hili lingetokea kanda ya ziwa ungesikia povu kama lote. Sasa ndio inadhihrisha kwamba roho ya kichagga siyo ya kibinadamu linapokuja suala la mali. Nashangaa kuna mijitu ya mikoa mingine eti yanakwenda kuoa uchaggani. Hovyo kabisa.
 
Wewe una tatizo Kama wenzio na una mawazo hayo hayo huwezi kutetea unyama huo, mzazi akupe ulimsaidia kuzitafuta tafuta zako, kazi yenyewe nesi apige shift za asubuhi, mchana na usiku akulishe, kukuvisha na kukusomesha umekua mkubwa badala ya kufikiria utamsaidiaje mzazi baada ya yeye kustaafu wewe unawaza akugawie mafao, Bora ungebaki tumboni kwa kweli
Huyo angebaki tumboni angemsababishia Mama yake kansa.
 
Back
Top Bottom