Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Ni bahati mbaya tu kajulikana ndo maana anaonekana mtu wa ajabu lakin Kuna watu wengi tu Leo hii wanaonekana mashujaa na watafutaji lakini nyuma ya mali zao Kuna unyama mkubwa wamefanya zaidi ya huyo Binti lakini kwakua binadam tumeumbiwa unafki watu wote watamlaumu kwa kujidai wao ni wema sana
 
We umeandika nini

Pombe tunakunywa wengine kulewa mnalewa wengine

Ova
 
... acha ukabila wewe!
Ukabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama yule mkikuyu aliyemuua mholanzi akamuweka kwa shimo Cha choo jumlisha huyu dogo Arusha aliyeua mamaye akamchimbia kwa septic tank.
Sema unataka uonekane wako watakatifu Sana .
Yaani ndugu yangu akioa Kilimanjaro nitapambana Sana mpaka asioe yaani nitatishia mpaka kujiua
 
Na mmasy akaua maza yake huku Arusha na akakiri
 
... kuishi Moshi haimaanishi ni mchaga na hata kama angekuwa mchaga haimaanishi ethnicities wengine hayo matukio hayapo na hata yakiwepo kwingine haimaanishi jamii nzima inafanya hivyo; rather, ni tabia binafsi ambayo huwezi kui-populate kwa jamii nzima. Right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…