and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Picha?Binti mwenyewe pisi fulani anaonekana
Kwa tukio alilofanya unaweza kushangaa
Mali hizi zitawatoa roho watu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha?Binti mwenyewe pisi fulani anaonekana
Kwa tukio alilofanya unaweza kushangaa
Mali hizi zitawatoa roho watu
Ova
Uko sahihi kabisa.Yaan mzazi kakukuza plus kukusomesha pengine kajinyima ili mwanae akuhudumie mpaka sasa umekuwa jitu lizima yaani fadhila zote hizo bado unasema ni mbinafsi aisee utakuwa una matatizo ya akili.
Inawezekana kua ni kweli lakini kwa jicho la kibinadamu lawama lazima ziende kwa binti lakini je huyo mama alikua na mtoto mmoja tuu kiasi cha kufanya tukio na asijulikane?Mama alikuwa nesi???kcmc!
Matukio mengine tusiangalie upande mmoja...
Umesema ukweli na uhalisia.Kama ulishawahi kuishi Moshi na Wilaya zake....ukitazama kwa umakini harakati za Wana jamii, haiba na mienendo ya Wana jamii waliokuzunguka na mitazamo yao juu ya maisha unagundua kuwa kuna tatizo mahali...
Bosi ni fafanue nini?
Inawezekana kua ni kweli lakini kwa jicho la kibinadamu lawama lazima ziende kwa binti. Lakini je huyo mama alikua na mtoto mmoja tuu kiasi cha kufanya tukio na asijulikane?Mama alikuwa nesi???kcmc!
Matukio mengine tusiangalie upande mmoja...
Hao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Ila weeh jamaaa😆😆😆😆 imekuwa fundisho maana Mie ni Yule mzazi ninayewaambia watoto hizi zangu, watafute zaoWee sema hivyo tuu....sasa mali umahangaika kuzipa ila kwa sababu ya uchoyo watoto wako wenyewe wanakuondoa. Wazazi acheni ubinafsi gaweni mali hizo
Ile chuki ndogo mnayowajengea watoto huwa ina mrudia kila mtu.Nukuu ya Tupac
Ndio ukae kimachale mzeya usije jikuta wamekukata mapanga.Ila weeh jamaaa😆😆😆😆 imekuwa fundisho maana Mie ni Yule mzazi ninayewaambia watoto hizi zangu, watafute zao
Nikiona mtu anahangaika na urithi huwa namdharau! Nashukuru Babu yangu alituasa kuwa tusirithi na katika ukoo wetu mtoto huwa ni caretaker wa mali za wazazi! Tunaambiwa tutafute mali zetu. Babu hakurithi, mimi sikurithi na watoto wangu wana pesa zao kunizidiIla weeh jamaaa😆😆😆😆 imekuwa fundisho maana Mie ni Yule mzazi ninayewaambia watoto hizi zangu, watafute zao
Na kilimanjaro kwa akili yako wazawa ni wachaga tu, jiongeze acha upumbavu!! Makabila wazawa wapo zaidi matatu,,Moshi hakuna wa mkazi wa Kuja na huyo ni mchaga kubali
Na hii ndo inatakiwa kufanyika kwa familia zote!!Nikiona mtu anahangaika na urithi huwa namdharau! Nashukuru Babu yangu alituasa kuwa tusirithi na katika ukoo wetu mtoto huwa ni caretaker wa mali za wazazi! Tunaambiwa tutafute mali zetu. Babu hakurithi, mimi sikurithi na watoto wangu wana pesa zao kunizidi
Kwani kuna mtu anabisha kwamba mali umeifanyia kazi? Yaani wee kwa sababu uliteseka basi wataka na mwanao pia ateseke kupata mali kama ulivyoteseka wewe....huo ujinga bwana. Mali zako mzazi zinapaswa kumrahisishia mwao kupata zake.Kwani mulitafuta hizo mali pamoja na mzazi? Mzazi yuko sahihi kabisa, yeye ndiye aliyefanya kazi na kuteseka kwa hivyo hicho alichofanikiwa kukichuma ni chake.
Hayo yote kwanza ni wajibunwa mzazi usianze kusemankuwa ni fadhila. Wee unaleta mtoto duniani hujui kuwa ni jukumu lako kumlea mpaka awe mkubwa na anajitegemea?Yaan mzazi kakukuza plus kukusomesha pengine kajinyima ili mwanae akuhudumie mpaka sasa umekuwa jitu lizima yaani fadhila zote hizo bado unasema ni mbinafsi aisee utakuwa una matatizo ya akili.