Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Kuna unyama mkubwa zaidi ya kumchinja MAMA YAKO MZAZI na kumfukia kwenye nyumba hiyo hiyo mnayoishi ili Umiliki Mali alizozitafuta yeye mwenyewe!!!!?

Bro acha masikhara bhana,
Hebu taja unyama mwingine mkubwa zaidi ya huo tafadhali.
Ndiyo upo unyama zaidi ya huo ila kwakua wote mnajidai vijukuu vya mitume humu mnajidai kwamba ni unyama sana hamjawahi kuuskia unyama zaid ya huo
 
Vijana wanaona wazee hawafi mapema[emoji16][emoji16].
Muandike urithi mapema kuepuka haya mtoto awe na uhakika na Mali za wazazi wake
 
... kuishi Moshi haimaanishi ni mchaga na hata kama angekuwa mchaga haimaanishi ethnicities wengine hayo matukio hayapo na hata yakiwepo kwingine haimaanishi jamii nzima inafanya hivyo; rather, ni tabia binafsi ambayo huwezi kui-populate kwa jamii nzima. Right?
Mkuu,usitumie nguvu nyingi kushawishi jamii yenye fikra mgando..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Wewe una tatizo Kama wenzio na una mawazo hayo hayo huwezi kutetea unyama huo, mzazi akupe ulimsaidia kuzitafuta tafuta zako, kazi yenyewe nesi apige shift za asubuhi, mchana na usiku akulishe, kukuvisha na kukusomesha umekua mkubwa badala ya kufikiria utamsaidiaje mzazi baada ya yeye kustaafu wewe unawaza akugawie mafao, Bora ungebaki tumboni kwa kweli
Utakuta huyo binti alikuwa ana pewa pesa ana zifuja Tu akaona hapewi tena akaamua kumuua mzaz wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha chunga Sana .
Mali zako.
Mkeo wako
Watoto wako.

Hivi ndy vitu vitakavyo kutanguliza mapema sn kaburini.
 
na nimagaidi kweli ,we mtt anamchinja mzazi wake kwa panga Tena n8 bint si ugaidi huo.marufuku mwanangu kuoa mchaga !! ma alshabab hao!!
Kuna mdau kasema siyo mchaga kikawaida hakuna binti kutoka kabila tofauti na wachaga, wameru, wapare anaye weza kufanya ukatili kama huo hakuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom