Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

Baba mwarabu koko mama alikua chotara wa kizungu kwababa na mama mchaga...basi alaumiwe mwarabu koko sio wachaga,nenda huko kanda ya ziwa hakuna wiki husikii mauaji,nao watakua wachaga
Muarabu gani anaitwa Mrema? Ingawa unachosema ni kweli, hizo ni tabia za mtu binafsi
 
Muarabu gani anaitwa Mrema? Ingawa unachosema ni kweli, hizo ni tabia za mtu binafsi
Unaijua hiyo familia wapi umesoma kua ni mrema?baba alikua sombe...mama anatoka familia ya mashombe wa kizungu maarufu sana pale moshi kina john bennet...moshi ziko familia nyingi za kigiriki,kama kina taylor huwa wanashiriki mbio za magari,wamelowea moshi ila sio wachaga
 
Mama alikuwa nesi???kcmc!

Matukio mengine tusiangalie upande mmoja.


Kuna vifo vingi sana vinavyosababishwa na dharau na uzembe wa ma Dr. na manesi wetu hapo tuache deal za kuuza viungo vya binadamu.


Huyu mama inawezakana kabisa kashiriki katika mauaji mengi sana huko hospitali kiasi laana imemfuata ...

Tuwe makini sana sie ambao tupo katika sehemu za kusaidia watu wemye matatizo

Makanisani,hospitalini Na kadhalika.

Matendo yetu uwaga yanahukumiwa hapa hapa dunia kama sio sisi basi kizaZi lazima kilipe.

Kwa upande mwingine vijana tuache short cut za maisha sasa hata hizo mali atazifanyia nini
Acha kubunibuni vitu ,yaani unazungumza huu utumbo ni kama ulifahamiana na marehemu?alikuuzia wewe hivyo viungo?
Pathetic

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Unaijua hiyo familia wapi umesoma kua ni mrema?baba alikua sombe...mama anatoka familia ya mashombe wa kizungu maarufu sana pale moshi kina john bennet...moshi ziko familia nyingi za kigiriki,kama kina taylor huwa wanashiriki mbio za magari,wamelowea moshi ila sio wachaga
Wewe ishiatangazwa hii habari kwenye vyombo vikubwa usikalie JF tu...binti anaitwa Wendrick Mrema...mama ndio mixer mixer...kuwa chotara haimaanishi kuwa huwezi kuwa wakabila flani...shinyanga hapo kuna wasukuma waarabu kibao...kyaka kuna waarabu wahaya wakutosha.
 
kawaida ya watu wa kaskazini tujiulize maswali je kwanini huyu binti alikuwa hana baba?? au baba yake alishafariki akabaki na mama yake nini chanzo cha kifo cha baba yake?? je huyu binti sio mmachame??,au mama naye alikuwa analipa madhambi yake ya huko nyuma?? tukumbuke lile unalolipanda ndio utakalo livuna hii iwe fundisho kwa akina mama wa akina meku sehem fulani maana wengi wao ukiwa moshi pale woote wajane waume zao walishaga fariki kitambo vifo vya utata sana wamewaachia mali yakutosha wao wamebakia kuwa na vidogo dogo mtaani huku wakiwa na mali ya kutosha labda labda labda marehemu alikuwa mtu safi lakini wale wanawake wa kaskazini mbona tunawajua tabia zao
Anyway apumzike mahali anapostahili
 
Mzee ,kuna wazazi mitihani si kitoto, unakuta mzee wako mali kibao na pesa nyingi. ila anataka utafute kazi ,kisa kakusomesha.Wazazi toeni urithi watoto wasimame kiuchumi.
Tafuta vya kwako boss..nature hua inaamua kukupa mali,baba yako aneza kupa ukakaa nazo 1yr zikaisha au wewe ukaziachaa..angalia wote walizozichukua kwa nguvu kwa wazazi wao hawatoboi hata three years wanakamatwa.
Ushauri tuu acha uvivu toka kwenye comfort zone pambana kutafuta vyako,ukikwama muombe mzazi au ndugu support wasipokupa poa tuu endelea kupambana na ukizipata usilipe baya kwa baya,watendee mema kuliko wanavyofikiria.
Utabarikiwa na Mungu.
TOKA HAPO ULIPO KAPAMBANEE
 
Kama anaweza kuua mama yake sababu ya mali, ndio uoe wewe sasa "msukuma" akuache?

Kilimanjaro kuna hatari kupenda sana mali kumezidi
Huko sio kupenda mali bali ni tamaa za kijinga zilizozidi uwezo wa akili katika kutafuta unachokifanyia tamaa!!
 
Tamaa ya mali ndo inawaponza watu.Ina maana ameshindwa hata kwenda nje kuuza utamu apate mali
 
Binti? Akachimba kaburi akamzika mwenyewe? Hapana kuna msaidizi hapo sio bure. Huo ujasiri aliutoa wapi? Tuseme alimuua bahati mbaya labda kwa kumsukuma je kumzika? Hii ni zaidi ya unyama
 
Tafuta vya kwako boss..nature hua inaamua kukupa mali,baba yako aneza kupa ukakaa nazo 1yr zikaisha au wewe ukaziachaa..angalia wote walizozichukua kwa nguvu kwa wazazi wao hawatoboi hata three years wanakamatwa.
Ushauri tuu acha uvivu toka kwenye comfort zone pambana kutafuta vyako,ukikwama muombe mzazi au ndugu support wasipokupa poa tuu endelea kupambana na ukizipata usilipe baya kwa baya,watendee mema kuliko wanavyofikiria.
Utabarikiwa na Mungu.
TOKA HAPO ULIPO KAPAMBANEE
Binti? Akachimba kaburi akamzika mwenyewe? Hapana kuwa msaidizi hapo sio bure. Huo ujasiri aliutoa wapi? Tuseme alimuua bahati mbaya labda kwa kumsukuma je kumzika? Hii ni zaidi ya unyama
Itakuwa danga lake
 
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi kwa tamaa ya mali, limeibuka tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi.


Inaelezwa kuwa binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Wendy amemuua mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambaye ni nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC kisha kuuzika mwili wake jirani na nyumbani pasipo majirani na wanandugu kufahamu.


Baada ya kupata taarifa na kuzifanyia kazi, Jeshi la Polisi liliufukua mwili huo leo jana Jumapili Januari 9, 2022 katika Kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo kwa zaidi ya wiki mbili sasa kisha kukiri kumchinja mama yake kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.





Ni takribani mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wakimuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri kwa matibabu nje ya nchi.

Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Juma Raibu amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji mali kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.


"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya tamaa mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia mali na starehe, mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki.


“Yaani unamuua mama mzazi? Hivi unakuwa huogopi laana na adhabu ya Mola? Nalipongeza jeshi letu la Polisi kwa hatua hii, nawatia moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao."





Madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem mwili huo kwa ajili ya hatua zinazofuata.


MALI ZA BABA

Inadaiwa kuwa binti huyo aliona mama yake ni kikwazo cha kurithi mali hasa ardhi iliyoachwa na baba yake, Dk Pima Ebreck.


Kamanda wa Polisi Moa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa alipoulizwa alikiri kuwepo kwa tukio hilo na kusema uchunguzi unaendelea.

InShot_20220110_113011051.jpg
timesfmtz-16418032803121.jpg
 

MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA

• Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe
•Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na Kutatua Jinai Mbali Mbali


Ikiwa zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.

Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo leo tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.

Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.

Akizingumza Kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama.
Namnukuu

"Kiukweli hili ni tukio la kutisha, nitoe pole Kwa familia ndugu na majirani wote mliofika hapa, nimepata huzuni sana kuona jinsi gani ya taamaa Mali imetufikisha hapa, nalaani na ninatoa wito Kwa vijana wenzangu wote nchini kuacha kupaparikia Mali na starehe mwisho wake tunageuka kuwa wanyama kiasi hiki, yaani unamuua mama mzazi?

Hivi unakuwa huoogopi laana na adhabu ya mola? nalipongeza Jeshi letu la Polisi Kwa hatua hii nawatia Moyo mwendelee na kazi hii njema ya kufichua na kudhibiti wahalifu wa namna hii na wanaoshirikiana nao".


mwisho wa kunukuu.

Tayari madaktari wameanza kufanyia uchunguzi wa postmortem Mwili huo kwajili ya hatua zinazofuata.

#MoshiBlog UpdatesView attachment 2075108

View attachment 2075109
Hawa wachaga Wana shida gani? Tamaa, wizi, magendo na utapeli! I will kill them these idiots
 
Ukabila gani wakati ni kawaida mkuu. Sasa huyu kaua mamaye wa kumzaa atashindwa kuua mmewe ambaye Hana undugu naye Kama yule wa dumila kuwa huyo fala mmeshamaliza ama yule mkikuyu aliyemuua mholanzi akamuweka kwa shimo Cha choo jumlisha huyu dogo Arusha aliyeua mamaye akamchimbia kwa septic tank.
Sema unataka uonekane wako watakatifu Sana .
Yaani ndugu yangu akioa Kilimanjaro nitapambana Sana mpaka asioe yaani nitatishia mpaka kujiua
Vipi wapare na wao ni kama wachaga au wapo tofauti kuhusu kupenda mali kuliko utu,naomba muongozo tafadhali
 
Back
Top Bottom