figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la mwasisi wa Chama Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Chama.