figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Na kwanini wanakataa kupigwa picha tukawashuhudiaAsubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la mwasisi wa Chama Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Chama.
Machoko hamtaisha Nchi hiiHawajamfukuza kwa nini?
Tajiri ni tajiri tu LAZIMA anyenyekewe. Heche kapita Katoro hata kuulizia Kaburi la Mawazo lilipo hakuulizia! Ahahahahaha!!!Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, HecheJohn pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi mkoani Kilimanjaro katika Operesheni NoReforms No Election wametembelea kaburi la mwasisi wa Chama marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Chama.
View attachment 3350806View attachment 3350807View attachment 3350808
morning ndesamburoAsubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, HecheJohn pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi mkoani Kilimanjaro katika Operesheni NoReforms No Election wametembelea kaburi la mwasisi wa Chama marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Chama.
View attachment 3350806View attachment 3350807View attachment 3350808
Karibu sana ChademaPicha nzuri
Amina, aendelee R.I.E.P. Mzee
Karibu sana Chadema
Asubuhi ya leo tarehe 30 Mei 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche pamoja na ujumbe wake wakiwa Moshi kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection wamepata wasaa wa kutembelea kaburi la mwasisi wa Chama Marehemu Philemon Ndesamburo, na kuweka mashada ya maua kama ishara ya kutambua mchango wake katika ujenzi wa Chama.
View attachment 3350784View attachment 3350785View attachment 3350786View attachment 3350787View attachment 3350788View attachment 3350789View attachment 3350790View attachment 3350792View attachment 3350793View attachment 3350794View attachment 3350795View attachment 3350796View attachment 3350797View attachment 3350798View attachment 3350799