Moshi, Kilimanjaro: Watu waliojitambulisha kama maafisa wa TRA wavamia Rau Pub Usiku huu

Tatizo hizi mashine eti wanawauzia tena wafanyabiashara, tena bei kubwa zaidi ya laki 6. Wangewapa free hizo mashine au at a very low price ili wahamasike kuzitumia.
 
Vipi kama umemuita hakuitika!
Kwani hiyo pub ndo ilikuwa inazinduliwa usiku huo, si ipo siku nyingi?

Walevi washambulie kwa maslah gan, kwani ikifungwa bar ndo wamefungiwa kulewa!
Tuwaache wataalam wakati mwingine wafanye kazi,
Ujinga tuu na ukosefu wa mbinu, yaani usiku wa manane unaenda kudai kodi? Kwa nini hatuigi kwa mabeberu? Miafrika tuna shida sana kwenye thinking and strategies, yaani zero kabisa.
 
Mkuu hii akili kubwa hawawezi kuwa nayo, wao kwanza wanapenda sifa kuonekana wamefunga Pub na kuwakomoa wateja, they don't care at all. Imagine traffic anakamata Bus wanasumbuana na kondakta na dereva kwa zaidi ya nusu saa bila kujali abiria ambao wamelipa nauli zao na hawana kosa.
 
Kuna night club 1 morogoro star park kila ukiagiza mzigo unakuja na efd risiti hadi raha.
Mkuu Star Park ile investment siyo ya kitoto, halafu amekuja kwa kasi na pia kupambana na ushindani na akina Terminal Pub, Samaki samaki na wengine, sasa hataki kabisa usumbufu mdogo mdogo na watu kama TRA na wengine ili wateja wake wasisumbuliwe.
 
Kabla sijachangia naomba Kwanza kujua Mmliki wake ni Mfuasi wa Chama gani? Je, hutoa Michango na huwa anashibana pia na Mwenyekiti Taifa?
 
Ujinga tuu na ukosefu wa mbinu, yaani usiku wa manane unaenda kudai kodi? Kwa nini hatuigi kwa mabeberu? Miafrika tuna shida sana kwenye thinking and strategies, yaani zero kabisa.
Halafu inasema mbona sehemu flani,tulienda SAA 9 usiku
 
Sasa hivi tra nao wamekuwa Kama polisi
Wanataka waogopwe
 
Huwezi kuajiri ******* wakatoze kodi kisha badala ya kuwaita kwa heshima ya jina lao, unawaita WATAALAM.
Wataalam wa kazi gani? Kutoza kodi kwa njia hiyo hakujawahi kuwa kazi ya kitaalam
 
lakini hao TRA si walikua sahihi!?.. au kosa lao ni nini hapo.. maana kikawaida wangeulizia kama risiti zinatolewa wangejibiwa ndio hali ya kuwa si kweli.. whats wrong with everyone trying to do their job?
 
Akili ya panzi,
Wanafunga Bar, watakosa mapato ya siku ambazo Bar itakuwa imefungwa, baadae wataanza kuhoji kwa nn makusanyo yameshuka!! Akili ambayo mchawi pekee anaweza kuifanya.
 
Wakurugenzi wamechimbwa mkwara na waziri jafo makusanyo yakiwa chini huna kibarua kwa hiyo wanapambana kwa hali yoyote
 
KABLA SIJASAHAU HUYO JAMAA ANAYEMILIKI/ANAYEFANYA BIASHARA HAPO RAU PUB ALIWAHI KUKAMATWA NA GARI YA WIZI AMBAYO ILIKUWA NA NAMBA ZA IKULU YA KENYA.....NA POLISI WA SIRRO WAKAPIGA KESI IKAFUTWA.
MAENEO HAYO HAYO YA RAU BIASHARA YA GUEST BUBU NDIYO IMESHAMIRI MNO....RAU SHINE GUEST HOUSE NI MOJAWAPO!!
 
Duh inasikitisha
 
Mkuu mpaka sasa saa tisa alasiri hakuna mapicha tu ya tukio, basi hizi habari zina mushikheri. Nakataa na sikuamini.
 
Basi ni Mchagga halisi huyu....Mchagga bila wizi na utapeli, achekwe?
 
Kumbe TRA wanafanya kazi usiku na mchana,.Ila ni sahihi pia wapite na kwenye kumbi za harusi wawadai risit za ma-mcs na mdjs.

kwa sababu ni kweli biashara zinazofanyika usiku inabidi ukaguzi wa kodi ufanyike usiku,wawe wanatembea na mawakala wa mabenki kwa ajili ya kupokea malipo ya serikali.Hata kuna mizigo pia inasafirishwaga usiku ikiwa haina hizo efd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…