Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?

Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA.

Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu.

Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia ni mji msafi na kila mwaka hupewa tuzo za usafi. Nasikia ukitema hata mate chini maeneo ya stand inakamatwa. Yaani nasikia hata kama ukitupa chini ganda la Big G au pipi ushadakwa🤔

Basi nami napenda na natamani sana nifike huko nijionee mwenyewe hasa vijana, akina mama, wazee, kwa waume wanafananiaje ao ikoje.

Tukiachana na hayo, Juzi, Tarehe 30 mwezi wa 9 Mgombea uraias CHADEMA unasemekana alifika kwa kuchelewa kwa mkutano. Maelfu na maelfu Wananchi wakimsubiri hadi majira ya saa moja na madakika usiku nae akalazimika kwenda kuwasalimia ndipo walipo ondoka.

Lakini kuna taarifa nyingine nazisikia kuwa kabla hajafika moshi mjini kwa mkutano alizuiliwa na maelfu ya wananchi katika maeneo aliyokuwa akipita njiani kisa cha kufika kwake too late Moshi.

Inadaiwa Moshi imefunika mapokezi ya Lissu kuzidi sehemu yoyote Lissu alikopita. Nami najiuliza huku nilishangaa kama kweli Moshi wamewazidi Bahati, Mara, Katoro du!

Ila baadae nikagundua kuwa kuwa wakazi wa Kilimanjaro kwa na Moshi ujumla walitaka kutuonesha sisi wengine kuwa wao ndio Baba Lao. Kuwa wo ndo wanachama kindakindaki na kuwa Tundu Lissu alikuwa anakaribishwa nyumbani.

Jana tarehe 01 nimesikia Lissu kuhitajika kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro. Inaonekana kuna kosa alitenda au alikiuka baadhi ya kanuni za maadili japo polisi wametengua wito huo.

Najiuliza: Moshi kunani? Kwanini Tundu Lissu apate changamoto huko licha ya mapokezi yenu?

Ila kiukweli wengine hutamani kukanyaga nyayo zao kwenye ardhi ya Ulaya ama Marekani, ila mimi binafsi na hamu na shauku la kufika Moshi na Arusha specifically kujionea like style ya Wachagga na maendeleo yao. Kutembea ni kujifunza.

Moshi ni ngome ya upinzani na wanajielewa sana. Ni watu wazuri sana, wasomi, na wana maendeleo. Hawataki ujinga. Hapo ndipo CCM inapoweweseka. Mfano, Wilaya ya Hai, CCM chini ya Jiwe imepeleka kondomu yake inaitwa sabaya kuwa DC. Huyu hajatahiriwa kiakili na kisiasa. Ni chanzo cha matatizo yote na vurugu Hai.
 
Binafsi sikai Moshi au niseme sikai mkoani Kilimanjaro kunakodaiwa kuwa kitovu cha upinzani hasa CHADEMA.

Hata hivyo natamani sana kufika pande hizo hata kwa kukanyaga nyayo zangu tu ndani ya ardhi hiyo ili nitimize ndoto yangu.

Mara nasikia Moshi ni mji mzuri sana na wenye maendeleo. Nasikia ni mji msafi na kila mwaka hupewa tuzo za usafi. Nasikia ukitema hata mate chini maeneo ya stand inakamatwa. Yaani nasikia hata kama ukitupa chini ganda la Big G au pipi ushadakwa🤔

Basi nami napenda na natamani sana nifike huko nijionee mwenyewe hasa vijana, akina mama, wazee, kwa waume wanafananiaje ao ikoje.

Tukiachana na hayo, Juzi, Tarehe 30 mwezi wa 9 Mgombea uraias CHADEMA unasemekana alifika kwa kuchelewa kwa mkutano. Maelfu na maelfu Wananchi wakimsubiri hadi majira ya saa moja na madakika usiku nae akalazimika kwenda kuwasalimia ndipo walipo ondoka.

Lakini kuna taarifa nyingine nazisikia kuwa kabla hajafika moshi mjini kwa mkutano alizuiliwa na maelfu ya wananchi katika maeneo aliyokuwa akipita njiani kisa cha kufika kwake too late Moshi.

Inadaiwa Moshi imefunika mapokezi ya Lissu kuzidi sehemu yoyote Lissu alikopita. Nami najiuliza huku nilishangaa kama kweli Moshi wamewazidi Bahati, Mara, Katoro du!

Ila baadae nikagundua kuwa kuwa wakazi wa Kilimanjaro kwa na Moshi ujumla walitaka kutuonesha sisi wengine kuwa wao ndio Baba Lao. Kuwa wo ndo wanachama kindakindaki na kuwa Tundu Lissu alikuwa anakaribishwa nyumbani.

Jana tarehe 01 nimesikia Lissu kuhitajika kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro. Inaonekana kuna kosa alitenda au alikiuka baadhi ya kanuni za maadili japo polisi wametengua wito huo.

Najiuliza: Moshi kunani? Kwanini Tundu Lissu apate changamoto huko licha ya mapokezi yenu?

Ila kiukweli wengine hutamani kukanyaga nyayo zao kwenye ardhi ya Ulaya ama Marekani, ila mimi binafsi na hamu na shauku la kufika Moshi na Arusha specifically kujionea like style ya Wachagga na maendeleo yao. Kutembea ni kujifunza.

Kuna Mbowe amekaa sejemu anakunywa pombe kwahyo wenzake pia wamelewa
 
Inawezekana hukuwa umezaliwa wakati Lowasa anagombea maana kama ungeyaona yale yaliyokuwa yanafanyika na bado upinzani ukala za uso basi usingekuwa hata unapoteza MB zako kuandika mambo kama haya.
 
Wachaga ni watu mahodari kwa kutengeneza pesa, kwa njia yoyote ile. Na wanajiamini na ni wakabila sana. Hii ya tarehe 30 ilikuwa kuvimbishiana,
 
Back
Top Bottom