Moshi kuna nini hasa mpaka kuwe na mvutano na Tundu Lissu kiasi hiki?


Moshi ni ngome ya upinzani na wanajielewa sana. Ni watu wazuri sana, wasomi, na wana maendeleo. Hawataki ujinga. Hapo ndipo CCM inapoweweseka. Mfano, Wilaya ya Hai, CCM chini ya Jiwe imepeleka kondomu yake inaitwa sabaya kuwa DC. Huyu hajatahiriwa kiakili na kisiasa. Ni chanzo cha matatizo yote na vurugu Hai.
 

Kuna Mbowe amekaa sejemu anakunywa pombe kwahyo wenzake pia wamelewa
 
Inawezekana hukuwa umezaliwa wakati Lowasa anagombea maana kama ungeyaona yale yaliyokuwa yanafanyika na bado upinzani ukala za uso basi usingekuwa hata unapoteza MB zako kuandika mambo kama haya.
 
Wachaga ni watu mahodari kwa kutengeneza pesa, kwa njia yoyote ile. Na wanajiamini na ni wakabila sana. Hii ya tarehe 30 ilikuwa kuvimbishiana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…