luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau habarin
Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale
Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile sanamu ya askari pale Posta Dsm
Wadau wa Moshi, wazawa wa Moshi kama kuna anaeweza kuelezea ile sanamu pale tupe elimu