luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ulikuwa unaelekea kiborloni au rau ukaona mdau anulizia kuhusu hiyo sana ukaona uipige picha kbs
Hii picha kitambo Sana hapo tulikuwa tunakata kuni za kucheza 83s huko
Marhabaa kipindi hicho YMCA ilikuwa ndo hotel ya kitalii Moshi town na Keys hotels full wazunguHeshma yako mkuu
Haha hahahahahahaHeshma yako mkuu
Hahahahahah umejikuta unatoa heshima kusikia 83s mtu anakata kuniHeshma yako mkuu
Hahahahahah umejikuta unatoa heshima kusikia 83s mtu anakata kuni
Okay, je mkoa gan mwingine wali fanya hivyo mkuu ?Ni kumbu kumbu ya vita vya Kagera. Baada ya majeshi yetu kumaliza kazi na kupokelewa kwa shangwe iliamuliwa zijengwe sanamu za askari wenye silaha na baadhi ya mikoa ilitekeleza ikiwemo hiyo uliyoiona Moshi.
Arusha pia ipo.Okay, je mkoa gan mwingine wali fanya hivyo mkuu ?
Okay safi sana kiongozi kwa clarification nzuri, mara zote nilizo kuwepo pale moshi sikuwah kujua ina ashiria nini hii sanamu kuwepo pale mji wa moshiArusha pia ipo.
Ni ishara ya mashujaa.
Ni sanamu iiiyopewa Jina la George Memorial.Ni kumbu kumbu ya vita vya Kagera. Baada ya majeshi yetu kumaliza kazi na kupokelewa kwa shangwe iliamuliwa zijengwe sanamu za askari wenye silaha na baadhi ya mikoa ilitekeleza ikiwemo hiyo uliyoiona Moshi.
Mkuu juzi kati nilikuwa maeneo hayo na mgeni kutoka America aliniuliza hi sanamu ni yanini hapa kwakweli nikuwa sijui ila nilimjibu kama ulivyoelezea. Dah kumbe nilipatia jibu sahihi nilijibu kwa hisia tuNi kumbu kumbu ya vita vya Kagera. Baada ya majeshi yetu kumaliza kazi na kupokelewa kwa shangwe iliamuliwa zijengwe sanamu za askari wenye silaha na baadhi ya mikoa ilitekeleza ikiwemo hiyo uliyoiona Moshi.
Okay, madini mazuriNi sanamu iiiyopewa Jina la George Memorial.
Huyo George alikuwa nani?