Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

Nadhani ni kumbukumbu za askari wa Tanganyika walioshiriki kwenye vita vya pili vya dunia (wakati huo wakipigana upande wa uingereza). Uingereza iliweka utamaduni wa kujenga sanamu za Askari katika miji ya makoloni yao waliopigana kwenye vita vya pili vya dunia.
 
Kumbukumbu ya vita vya Kagera.
 
Hahahaha walihisi wana tishiwa [emoji38][emoji38]
Waislamu wanafata maandiko

Kut 20:4-6

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
 
Lile sio eneo la msikiti bali ni eneo la wazi lililopo karibu na msikiti.
Kama sijakosea walitoa malalamiko yao kwa jk ndo msikiti wakapewa hilo eneo, baada ya kupewa wakalibadilisha maegesho ya magari wanajipigia jerojero.
 
Kama sijakosea walitoa malalamiko yao kwa jk ndo msikiti wakapewa hilo eneo, baada ya kupewa wakalibadilisha maegesho ya magari wanajipigia jerojero.
Hahahahaha wamekuwa wajasilia mali hahaha
 
Ile ni sanamu ya heshima ya Meja Jenerali Muhidini Kimario aliyejiuzulu Uwaziri wa Mambo ya ndani na kwenda vitani Uganda
 
Wamama kutoka Uru Kishumundu waliangusha mizigo ya parachichi chini kwa kuona hiyo picha wakidhani ni mtu anawapiga risasi. Mimi sijui inamaamisha nini!
ni maajabu kama wao waliona msingi ukiwekwa,ukuta na Lisanamu likiwekwa pale miaka ya 1980,na Kisha wadondoshe. kaputula,he kwa wale wanaozaliwa mpaka wanajifia bila kufika shashiioni,ingekuwaje kwa mfano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…