Round about ni ya siku nyingi sana ila hyo unayoiona imefanywa kuboreshwa hyo miaka unayosenaAcha kudanganya watu hiyo roundabout imejengwa mwaka 2007 au 2008 sio ya siku nyingi Sana.Usipende kupotosha watu.
Hawajapewa hilo eneo ni la wazi bali sanamu ilihamishwa kwa heshima ya msikiti. Wanauchukua ushuru wa magari pale ni halmashauri.Kama sijakosea walitoa malalamiko yao kwa jk ndo msikiti wakapewa hilo eneo, baada ya kupewa wakalibadilisha maegesho ya magari wanajipigia jerojero.
Ipo pia Bukoba mjini imejengwa uwanja wa mashujaa inaitwa MayungaOkay, je mkoa gan mwingine wali fanya hivyo mkuu ?
Mkuu ni kweli aisee. Nimepita hapo Leo nimeona limegawanywa na senyenge kati ya open space na masijid,ila usafi Wa kuondoa mabanda ya chingaz Leo hii jpili umetamalaki balaa hapa rchuga.Hawajapewa hilo eneo ni la wazi bali sanamu ilihamishwa kwa heshima ya msikiti. Wanauchukua ushuru wa magari pale ni halmashauri.
Unazungumzia hiyo garden labda ila hyo sanamu ya soja ya kitambo balaa hapo round about ya YMCA.Acha kudanganya watu hiyo roundabout imejengwa mwaka 2007 au 2008 sio ya siku nyingi Sana.Usipende kupotosha watu.
Na sherehe za harusi unazamia kwa kupenye kwenye nyavu kule nyuma
[/QU
Sasa wewe utakuwa mtoto wa majengo, idara ya maji, njoro, mweleni,rau madunani au maeneo ya National housing maana ndo ilikuwa zetu kuzamia kwa upande wa zahanati au hostel unajichanganya Kama umetoka choon vile those days was funny enough tulivamia harusi moja ikawa tabu mzee Lasway wa bureau de change alitutolea sime tulichanja mbuga tukakutana kitaa kila mtu na njia yake
Hii picha kitambo Sana hapo tulikuwa tunakata kuni za kucheza 83s huko
Heshma yako mkuu
Marhabaa kipindi hicho YMCA ilikuwa ndo hotel ya kitalii Moshi town na Keys hotels full wazungu
Acha kudanganya watu hiyo roundabout imejengwa mwaka 2007 au 2008 sio ya siku nyingi Sana.Usipende kupotosha watu.