Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

Marehemu kama nyie tunasubir kuzika tuu

Kabla hujaleta ujuaji humu muulize hata shemeji yako jioni anaporudi !
Au hata dada yako usiku kabla hajaenda kuchezea paipu usiku kucha.

Dogo Rudi cerebrities ukachangie kwenye mada za zuchu na Ray vann na mtoto wa kajala.
 
Mkandarasi .......yes!
 
Pesa Zipo Haa 😂😁😀😄😃🤣😂😀😀
Serikali Ninayoiongoza Hakuna Michakato
 
Na yeye anatekeleza mktataba maana kila siku tunasikia serikali inasema mkandarasi akichelewesha mradi anakatwa hela. Sasa it is their turn.
 
Kuna kipindi nilikuwa na mkandarasi mmoja akawa analalamika malipo kuchelewa sana. Akawa anasema shida ni kwamba ukilalamika sana, wanaku-blacklist, unakuwa hupati kazi tena za serikali. Na wakati mwingine unapewa kazi ya pili wakati ya kwanza hujalipwa, lalamika unapigwa "lock" ya tender. Ni dhuluma tupu
 
Ulitegemea mradi mkubwa namna ile ugarimu kiasi gani
Ukubwa wake ni upi!? Gharama ya kujenga mita moja ya mraba ni kati ya sh. 500k na milioni moja na nusu.
Fanya nusu ya gharama zote ni jengo.. na nusu ni miundombinu. Bado huwezi sema jengo hilo lina mita za mraba 9500. Ambazo ni karibia viwanja viwili vya mpira wa miguu.

Tufanye wewe hapo jikoni/stoo tumekubali jengo lina sq 9500 ili mlifanyie nn Moshi!? Mumpangishe nani!? Na kwa sh. Ngapi ili kurudisha 28bn!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…