Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

Nirudie nini ??, we ndo rudia , unakrupuka tuu, stend Gharama ni bil 28 , mkandarasi anadai bil 1....matokeo ya shule za kata tabu sana
Hakuna kurudia hpo.. uko sawa hesabu ya kjuamlisha na kutoa tu hiyo hata gawanya hufiki
 
Kwani ile stand pale Mbezi Mwisho inajengwa kwa shilling ngapi?
 
Aisee we jamaa sijui unaongea vitu gani..

Unasema wasafiri Moshi wanapita? Una uhakika? Bus linalotoka Ubungo likifika Moshi mjini almost 90pc wanashuka pale. Pia unajua mabasi mangapi kwa siku yanaenda Moshi/Arusha?? Sidhani kama kuna trip hapa Tanzania ina bus nyingi kama Dar - Moshi/Arusha..

Unasema pia hizo frame zitakosa wapangaji kwakuwa tu kuna frame mjini katikati hazina wapangaji, sasa kwa mantiki hiyo kwani frame zote Dar zina wapangaji kule mjini? Je, ile Stand ya Magufuli kule Mbezi frame hazijajaa?? Pale stand Moshi kuna frame iliyo wazi??

Kuhusu payback period, hiyo Investment imefanyika kukiwa na mahesabu na kujiridhisha hiyo billion 28 itarudi hata ikiwa kwa kipindi cha miaka 20.
 
STANDI YA BILIONI 28 MOSHI???? TAKUKURU WAMULIKE HUO MRADI LAZIMA UNA UFISADI MKUBWA SANAAAA! MIMI KAMA MWANA MOSHI SIKUBALIANI NA HILO.

WEKENI HUMU MICHORO NA DESIGN KAMA MLIVYOFANYA KWA DAR ILI TUJADILI VIZURI! DUUUU!


MKuu Unamjua JAFO au unamsikia?
 
Njia yenye Mabasi mengi ni njia ya kati. Tanzania nzima. Ndio Msamvu Morogoro is a great investment.

Unapoongelea mabasi mengi yanaishia Moshi.. yapi!? Asilimia kubwa ukiwa moshi baada ya saa mbili hakuna gari inakuja Dar.. wala Tanga.. magari yakwenda Tanga, Lushoto, Handeni mengi yanatokea Arusha,,(Destination town)

Hapo watu wanapita tuu.. labda kama utahesabu na hiace za kwenda sanya juu, Machame na hai..

Bilion 28 ni nyingi.. tena sana. Hilo halipi ngiki.. na ukitaka kujua ngoja wamalize uone watakavyohaha kuua stand nyingine zote ili wapate user wa kuwaletea mapato kwenye hiyo stand mpya.. just wait and see.
 
mkandarasi analalamika kutokulipwa...serikali inalalamika kutokulipwa kwa mkandarasi...sasa hapo sijui nani atamsaidia mwenziye...ndio maana mambo kama haya ni JPM tu ndiye suluhisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…