DOKEZO Moshi: Mwalimu anayehisiwa Kufichua Maovu ya Afisa Elimu wa Manispaa awekwa LOCKUP na Afisa Elimu huyo (Ndg. Ngonyani)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ushahidi tumeuona. Ila kwa ushahidi huu walimu wote wa HALMASHAURI hiyo pumbavu zenu tena shenzi kabisa. Huyu Hadi anafanya yote haya mnamwangalia tuuu? Hivi Hadi Sasa Bado mnaamini AFISA ELIMU Hana bosi wake, mkuu wa nchi ana bosi wake sembuse nyangalika huyu? Endeleeni kulia BILA kuchukua hatua, mtakapo lawitiwa ndipo mtachukua hatua.
 
Katika kada ambayo Ina wajinga wengi ni elimu yaani hasa Msingi kumejaa vilaza ndo maana yanaonewa kupitiliza. Yaani mtu mmoja awanyanyase namna hiyo mshindwe kumshugulikia hata kibinafsi hata Kama ni kada wa CCM si ateuliwe tu aende kuungana na wezi wakubwa kuifilisi nchi. So sad
 
Na hao wajinga wako Zaid huko Moshi
 

CC. Katibu Mkuu TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI
 
Kiukweli huko idara ya elimu msingi wananyanyasana sana! Walimu hawajiamini kama hawajaenda shule. Kwani bado wale wenye vyeti feki hawajaisha???
 
Sisi watanzania ni watu wa hovyo sana .
Mwalimu kaleta tuhuma badala hizo tuhuma zifanyiwe uchunguz watu mnakuja na kejer mara majungu ,sijui wivu.
Walimu wakikaa kimya walimu ni waoga sana.
Mmeifanya hii kada kama punching bag ya Kila kilaza.
Leo hii mnatype hapa Jf Kwa kujimwaga sabab ya huyu huyu mwalimu.
Sijui ni lini mtaanza kuheshimu hii kada.

Serikali iwajar hawa walimu Kwa kipato kikubwa labda IPO siku wataheshimika kama nchi za ujeruman ambako mwalimu anaheshimika sana.
 
To be honest walimu wanadharaulika kwa sababu ya mambo wanayoyafanya; huyu anayeleta majungu huku nafikiri hana kazi za kufanya nahisi ni wale walimu ambao kazi yao ni majungu tu na hawatafuti njia za kuongeza vipato vyao.hivi muda wa kufatilia hayo yote anatoa wapi?

kuna habar kazileta hapa wengine tumefatilia hakuna ukweli wowote.

mf kasema saccoss imeuziwa eneo la shule lakini lile jengo saccoss imekodi na wanalipa kodi ni mradi wa shule,afatilie vizuri ajue hilo jengo limejengwaje.

pia ishu ya mtu kuchepuka na mtu hayo ni makubaliano yao walimu wengi hujipendekeza kwa maafisa wakidhani kutembea nao ni umaarufu,kwani kuna aliyelazimishwa? Mi naamini mtu akikutongoza kama humtaki unamkataa na ukiona anakutishia mrekodi kamripoti kwa wakuu wake.

Mara ana nyumba sjui nne😂😂 mbona kuna watu wa kawaida tu wana nyumba za kutosha? Shida ni kuwa hawafikirii kufanya hata biashara wao wanawaza tu majungu hata akiona mwalimu mwenzie kajenga nyumba roho inamuuma.

Walimu epukeni kujidharaulisha kwa jamii,tafuteni hela hakuna maisha yasiyowezekana kama ukiamua kufanya kazi zako.
 
1.https://www.jamiiforums.com/threads/uonevu-uliokithiri-idara-ya-elimu-manispaa-ya-moshi.2078086/
2. Kuna kila dalili Wewe ni chawa wa Huyo afisaelimu

3. Uliwahi kuona wapi afisaelimu ameuza eneo la shule tena shule yenye eneo dogo mjini katikati kwa Matumizi ya Saccos na Tayari jengo limejengwa kama Sio Ngonyani?

4. Gari jipya la idara ya elimu msingi liko wapi?

5. Ofisini anakula na wataaluma wawili kwa Pamoja tena ukizingatia. Kuwa kuna HIV Kila kona hapo wamama ni Wazima kweli?

6. Mdhibiti ubora Moshi Manispaa dodo so tulilosikia uliwapa walimu kuhusu utendaji wa Ngonyani ulikuwa usani na upumbavu mkubwa.
7. Anahamisha walimu hovyo tena kwa rushwa ya ngono

Tamisemi Njooni Moshi Manispaa kuna udhalimu , udhalilishaji, Wizi na ufisadi mkubwa
 
Madarasa manne kwa kukataa kutoa mlungula alioombwa na huyu Ngonyani! Alitaka milioni mbili lakini Mwalimu Mashauri akatoa elfu ishirini, matokeo yake mradi wa covid haukupelekwa shuleni kwake ukapelekwa shule ya Msingi Langoni.

"MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA.................!"
 
mi sio mwalimu ndugu na siwezi kuwa chawa wa mtu nina maisha yangu.ila ni mfatiliaji wa habari zinazoandikwa ndo mana nikakwambia fatilia ujue kama limeuzwa au halijauzwa?nimefatilia nikajua halijauzwa,kwa nn usifanye utafiti kabla hujaandika baadhi ya vitu? hivi eneo la shule linaweza kuuzwa bila ardhi kujua,ofs ya mkurugenz isijue,yaani eneo la serikali liuzwe kirahisi hivyo? basi huyo atakuwa ni zaidi ya afisa elimu. chunguza vitu pata uhakika 100% kabla hujaandika huku
 
Eneo limeuzwa na limejengwa nyumba ya saccos na limekamilika na pesa alishaweka mfuko.

2. Kama hilo gari lipo muambie Jumanne alipeleke kwa DED alione kwa macho.
 
Huyo Mr Ngonyani awajibishwe haraka iwezekanavyoo. Sheria ichukue mkondo wake.
 
Hii dunia inabidi uwe ngumi mkononi!muda wote VINGINEVYO hawa akina ngonyani cjui ngonguruwe watakupelekesha sana
 
Tatizo hii nchi ukiona mtu anabweka Sana
Kuna anayemtegemea hapo juu
Either Waziri au Kuna Mtu mkubwa alimuweka hapo wizarani
So Ndio kinampa ujasiri
 
Tatizo jeshi letu la polisi lina njaa sana hivyo ni rahisi tuu huyo afisa elimu kuhonga askari na askari wakamtengenezea kesi huyo mwalimu wakamkamata na kumuweka ndani maana sheria zetu ni kandamizi sana kwa raia
Sure
 
Km ni ya kwel
I haya basi ingieni magotini,Mungu hujibu kwa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…