Wewe ndio mpumbavu!Katika comment za hovyo kutolea mwaka huu hii Ni namba moja. Huyo diwani wa ccm Ni chadema? Hizo Kodi za miamala zinaangalia chama? Kweli kichwa hicho Ni fuvu lililosafishwa kwa sabini na jik ili isibaki harufu hata ya ubongo. P..bafu
Inapigiwa debe na bakicha kama wewe wakati wa kauli mbiu ya anaupiga mwingiKwani hii case ilifunguliwa na Bavicha?
Kwani ni kipi kingeweza kuzuia yanayoendelea bungeni,wakati ni kijiwe cha unyang'anyi cha ccm?tumia hata mgogo basi kama ubongo huna[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Sasa mnapiga kelele sasa hivi za nini wakati ilipokuwa inawasilishwa bajeti nyie mlikuwa mnamdemkia mama kwamba anaupiga mwingi kwa kumkamata sabaya?Kwani ni kipi kingeweza kuzuia yanayoendelea bungeni,wakati ni kijiwe cha unyang'anyi cha ccm?tumia hata mgogo basi kama ubongo huna
Kwa dalili na mwenendo katika mengi yanayoendelea na kuendelea kuonekana naweza kukubaliana nawe.Geresha tu. Soon tutawaona mtaani
Sio kupora kama hana pesa...'Ni kupora na kusema "utafanyaje au..fanya unachotaka"Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Ya kuwadhibiti fisadi na wakwepa kodi ndio ufedhuli?CCM ni ileile, oooh ni ileile eeeeeh [emoji444][emoji444][emoji444]
Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!
Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Hamna kitu iliniboa kwa hao wanachadema kama hii. Mambo kibao ya muhimu ya kuwahamasisha wananchi na wanasiasa wafanye bado eti mimtu kutwa nzima inamkandia msanii ambae wala hana hata muda nao.Wanaharakati walikuwa busy na petisheni ya dimondi na BET na kumpigia kura Bana boy🤣🤸🐒
Alilenga apige parefu muhanga akawa ana hio tu 30kHii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Kelele zingekuwa nyingi kama zile za kusaini petishen ili Diamond atolewe kwenye tuzo za bet au zile za kushangilia mama alipofikishwa sabaya kisongo, angalau kina ndugai wangeshtuka na kubadili msimamoMkuu, kwani kuna namna bavicha au hata uvccm au yeyote nje ya Bunge anaweza kuzuia bajeti isipitishwe?? Una maana zile “ndiioooo” zingewezwa kuzuiwa???
na utashangaa anavyotoka kiulainiii kesi ya elfu 35 na tecnoYes msaidizi wa dukani walipoenda kupokonya pesa alipoulizwa boss wake yuko wapi na kushindwa kunyoosha maelezo anakalishwa chini anavuliwa viatu, anasachiwa anapewa mateso kwa masaa kadhaa wanaondoka na kila kitu, hata kama sio Sabaya anayechukua kwa mkono wake basi hiyo 35,000 inakua imechukuliwa na hao vibaka wake wa uvccm alikuwa anatembea nao kila mahali.
Kwenye maelezo wanakuwa ni wote wamefanya uhalifu huo.
Hii kambale ina kesi nyingi za kujibu pambaf kabisa.
Sabaya alikamatwa lini na bajeti imesomwa lini?Wewe ndio mpumbavu!
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi bungeni wewe na watz wengine mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwa Sabaya! Akili zote mlielekeza kwa sabaya huku mwigulu akifanya yake bungeni!
Sasa acheni kulia
Kwa Yale maumbwa mliyoyajaza bungeni nani asingepitisha? Yakipigiwa mruzi yote yanaenda upande mmoja.Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!
Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Fuatilia utajuaSabaya alikamatwa lini na bajeti imesomwa lini?
Comrade punguza assumptions za kwenye movies jikite kwenye uhalisia.anaweza kushinda kwa kuigeuza hiyo kesi ya uhujumu kuwa alikuwa anafanya kwa maslahi mapana ya nchi na ikaonyeshwa kuwa hakuhujumu kwa manufaa yake binafsi anatoka mtashangaa