Moshi mweupe kesi ya Sabaya

Moshi mweupe kesi ya Sabaya

Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Yes msaidizi wa dukani walipoenda kupokonya pesa alipoulizwa boss wake yuko wapi na kushindwa kunyoosha maelezo anakalishwa chini anavuliwa viatu, anasachiwa anapewa mateso kwa masaa kadhaa wanaondoka na kila kitu, hata kama sio Sabaya anayechukua kwa mkono wake basi hiyo 35,000 inakua imechukuliwa na hao vibaka wake wa uvccm alikuwa anatembea nao kila mahali.
Kwenye maelezo wanakuwa ni wote wamefanya uhalifu huo.

Hii kambale ina kesi nyingi za kujibu pambaf kabisa.
 
Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!

Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Kwahiyo baada ya ccm kupitisha bajeti hii, kwa akili yako ya kindezi unafikiri chadema tu ndo wakao umia? Leo umetambua kuwa chadema ni muhimu kutetea masilahi ya wanyonge, ndo maana unalialia kuwa chadema hawaku-'pay' attention kwenye bajeti. Kwahiyo ccm wakakosa wa kuwakemea na hivyo kupitisha mambo ya ovyo.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Huu wimbo ukiusikiliza kwa makini utaishia kupitiwa Na usingizi mzito sana .

Katikati ya usingizi utaota Ole Sabaya kaachirwa Juru.

Na kwel ukiamka alfajiri unakutana Na Breaking news "SABAYA HURU MTAANI"

CCM kwenye jambo linaloweza kuwapa credit upinzani Huwa Wanaupiga mwingi sana😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Yes msaidizi wa dukani walipoenda kupokonya pesa alipoulizwa boss wake yuko wapi na kushindwa kunyoosha maelezo anakalishwa chini anavuliwa viatu, anasachiwa anapewa mateso kwa masaa kadhaa wanaondoka na kila kitu, hata kama sio Sabaya anayechukua kwa mkono wake basi hiyo 35,000 inakua imechukuliwa na hao vibaka wake wa uvccm alikuwa anatembea naye.
Kwenye maelezo wanakuwa ni wote wamefanya uhalifu huo.

Hii kambale ina kesi nyingi za kujibu pambaf kabisa.
Dunia uwanja wa fujo sana. Aliimba Marijani Rajabu.
 
Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka..
Wamesha mfunza tayari kuwa hii inchi sio ya baba yake. Wamwachie sasa
 
Binadamu wengi tumejawa chuki zisizo na msingi yaani ukiulizwa hasa unamchukia mtu kwa sababu gani hatuna sababu zenye mantiki Zaidi tunachukia kwa kufata mkumbo Tu na mikumbo mingi tumekuwa tunaifata bila kujua tunacheza Ngoma za wanasiasa.

Mi sikuwahi kumfatilia sana Sabaya katika utawala wake kama DC kiasi cha kumuelewa hasa what he's capable of Ila kuniambia aliiba simu ndogo ya Tecno na 30k kunahitaji maelezo yaliyoshiba Zaidi ya haya ninayoambiwa.
 
Kwahiyo baada ya ccm kupitisha bajeti hii, kwa akili yako ya kindezi unafikiri chadema tu ndo wakao umia? Leo umetambua kuwa chadema ni muhimu kutetea masilahi ya wanyonge, ndo maana unalialia kuwa chadema hawaku-'pay' attention kwenye bajeti. Kwahiyo ccm wakakosa wa kuwakemea na hivyo kupitisha mambo ya ovyo.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Sasa uache kulalama! Lipa kodi tunataka kodi sisi
 
Hata ukitoka Moshi Mwekundu Sabaya hatoboi kwenye hii kesi lazima ale mvua za kutosha.

Turudi sasa kwenye tozo za mishikamano , mwigulu na zungu wamechemka kuwaonea walalahoi kwa mitozo yao isiyo na kichwa wala miguu ,hizo levy ilitakiwa ziwe ndogo maana zipo nje ya utaratibu.
 
Toa unyumbu kwanza kichwani ndiyo utaelewa dunia inaenda kasi sana
 
Back
Top Bottom