Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,386
- 5,325
Hiyo ni janjajanja ya wachaga kukatisha tamaa wazalendo.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni janjajanja ya wachaga kukatisha tamaa wazalendo.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Yes msaidizi wa dukani walipoenda kupokonya pesa alipoulizwa boss wake yuko wapi na kushindwa kunyoosha maelezo anakalishwa chini anavuliwa viatu, anasachiwa anapewa mateso kwa masaa kadhaa wanaondoka na kila kitu, hata kama sio Sabaya anayechukua kwa mkono wake basi hiyo 35,000 inakua imechukuliwa na hao vibaka wake wa uvccm alikuwa anatembea nao kila mahali.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Kwahiyo baada ya ccm kupitisha bajeti hii, kwa akili yako ya kindezi unafikiri chadema tu ndo wakao umia? Leo umetambua kuwa chadema ni muhimu kutetea masilahi ya wanyonge, ndo maana unalialia kuwa chadema hawaku-'pay' attention kwenye bajeti. Kwahiyo ccm wakakosa wa kuwakemea na hivyo kupitisha mambo ya ovyo.Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!
Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Kama walihukumiwa wakina mramba sabaya yeye naniHii kesi mmeishupalia sana, lakini kiuhalisia ni kupoteza muda tu kwakua Sabaya hawezi kuhukumiwa. CCM ni ileile na ni lazima walindane.
Hapo ndo utashaangaa sasa ujue kuna watu wanatumikaHii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Dunia uwanja wa fujo sana. Aliimba Marijani Rajabu.Yes msaidizi wa dukani walipoenda kupokonya pesa alipoulizwa boss wake yuko wapi na kushindwa kunyoosha maelezo anakalishwa chini anavuliwa viatu, anasachiwa anapewa mateso kwa masaa kadhaa wanaondoka na kila kitu, hata kama sio Sabaya anayechukua kwa mkono wake basi hiyo 35,000 inakua imechukuliwa na hao vibaka wake wa uvccm alikuwa anatembea naye.
Kwenye maelezo wanakuwa ni wote wamefanya uhalifu huo.
Hii kambale ina kesi nyingi za kujibu pambaf kabisa.
Wamesha mfunza tayari kuwa hii inchi sio ya baba yake. Wamwachie sasaArusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka..
Hata elf 2 ni uporajiHii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Sasa uache kulalama! Lipa kodi tunataka kodi sisiKwahiyo baada ya ccm kupitisha bajeti hii, kwa akili yako ya kindezi unafikiri chadema tu ndo wakao umia? Leo umetambua kuwa chadema ni muhimu kutetea masilahi ya wanyonge, ndo maana unalialia kuwa chadema hawaku-'pay' attention kwenye bajeti. Kwahiyo ccm wakakosa wa kuwakemea na hivyo kupitisha mambo ya ovyo.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
wenzake wanatuhumiwa kuiba Sh35, 000 na simu aina ya techno
Hata akiachiwa atakua amejifunza na mananga wenzake wana la kujifunza pia
Wapo kazini kuwa na adabu na proffession za watu........Hao mawakili wanaomtetea 7baya ni wapumbavu kuliko Sabaya mwenyewe
Toa unyumbu kwanza kichwani ndiyo utaelewa dunia inaenda kasi sanaHata ukitoka Moshi Mwekundu Sabaya hatoboi kwenye hii kesi lazima ale mvua za kutosha.
Turudi sasa kwenye tozo za mishikamano , mwigulu na zungu wamechemka kuwaonea walalahoi kwa mitozo yao isiyo na kichwa wala miguu ,hizo levy ilitakiwa ziwe ndogo maana zipo nje ya utaratibu.
Subiri uone Sasa.Kama walihukumiwa wakina mramba sabaya yeye nani