Moshi mweupe kesi ya Sabaya

Moshi mweupe kesi ya Sabaya

Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Jifunze upanue uelewa wako kidogo wa masuala ya sheria. Tambua kwamba Sabaya alikuwa na genge lake la majambazi. Yawezekana simu ya tecno na sh 35,000 hakuchukua Sabaya, walichukua majambazi wenzake aliokuwa akiandamana nao. Kwa vile ni kundi moja, basi uovu uliofanyika hapo, wote walishiriki. Halafu pia uelewi pia jambazi akija kwako kwaajili ya kuiba 1m, asipoipata, akiiona sh 10,000, haiachi.
 
Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!

Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Hizo kodi za miamala zitawanyonga sana ninyi. Wapinzani hawawezi kuumizwa na hizo tozo. Wamepitia kwenye mengi ya moto kuliko hii.

Mpinzani gani wa kuhangaishwa na sh 30,000 wakati wamelipishwa mpaka zaidi ya milioni 300, na wapo wanaendelea na maisha.

Hizo tozo ni nguruwe anakula watoto wake.
 
Binadamu wengi tumejawa chuki zisizo na msingi yaani ukiulizwa hasa unamchukia mtu kwa sababu gani hatuna sababu zenye mantiki Zaidi tunachukia kwa kufata mkumbo Tu na mikumbo mingi tumekuwa tunaifata bila kujua tunacheza Ngoma za wanasiasa...
Kwa nini usipanue ubongo wako mkuu? Mbona hii ni rahisi sana na maelezo rahisi yameshatolewa hapo juu?
 
Kwani hii case ilifunguliwa na Bavicha?
Mibavicha ina kiherehere...iliichukulia hii kesi personal. Sasa hivi inaumbuka. Inaumbuka kila kona, kwa diamond oetition ilifeli, sabaya kiboko ya mifisadi aliyoinyoosha anapeya muda si mrefu.
 
Ukifuatilia vizuri hili ni tukio limefanyika kwa wakati mmoja, walipokuwa dukani kwa Saad alimpigia diwani aje amsaidie Saad, Diwani alipofika dukani naye akawekwa chini ya ulinzi, huyu wa simu naye alinyang'anywa ili asipige simu.
Hii ni siku na eneo moja
Mataga wanajifanya hawajui...
 
Akili mbovu kweli weye!Kwa hiyo matendo yake yote maovu akifanya ili awaumize BAVICHA na kueagurahisha ninyi mafisi?Mnatengeneza chuki kubwa sana.Very stupid!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepanic sana? Kwani alikufanya nini?

Kunywa chai kwanza bwashee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepanic sana? Kwani alikufanya nini?

Kunywa chai kwanza bwashee
Acha kutetea muovu. Mnajipambanua mlivyo wapuuzi.Mtauona kama moshi ni mweupe au urujuani.Mataga ninyi!
 
Hizo kodi za miamala zitawanyonga sana ninyi. Wapinzani hawawezi kuumizwa na hizo tozo. Wamepitia kwenye mengi ya moto kuliko hii.

Mpinzani gani wa kuhangaishwa na sh 30,000 wakati wamelipishwa mpaka zaidi ya milioni 300, na wapo wanaendelea na maisha.

Hizo tozo ni nguruwe anakula watoto wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuonea huruma
 
Back
Top Bottom