Aisee! Kweli dunia imejaza watu tofauti tofauti!Serikali mmefeli pakubwa sana, mmemwonea bure mtoto wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Kweli dunia imejaza watu tofauti tofauti!Serikali mmefeli pakubwa sana, mmemwonea bure mtoto wa watu
Sijauona kwanza huo moshi mweupe!Subiri uone Sasa.
Toa unyumbu kwanza kichwani ndiyo utaelewa dunia inaenda kasi sana
Jifunze upanue uelewa wako kidogo wa masuala ya sheria. Tambua kwamba Sabaya alikuwa na genge lake la majambazi. Yawezekana simu ya tecno na sh 35,000 hakuchukua Sabaya, walichukua majambazi wenzake aliokuwa akiandamana nao. Kwa vile ni kundi moja, basi uovu uliofanyika hapo, wote walishiriki. Halafu pia uelewi pia jambazi akija kwako kwaajili ya kuiba 1m, asipoipata, akiiona sh 10,000, haiachi.Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Hizo kodi za miamala zitawanyonga sana ninyi. Wapinzani hawawezi kuumizwa na hizo tozo. Wamepitia kwenye mengi ya moto kuliko hii.Kwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!
Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
Sasa hapo moshi mweupe uko wapi? Subirini tu mtajua hamjui. Mwisho wa siku mtakuja kusifia kifungo kuwa kafungwa miaka michacheBavicha hawataamini
Wewe uliekuwa unajua kinachoendelea hali ikoje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Akili mbovu kweli weye!Kwa hiyo matendo yake yote maovu alifanya ili awaumize BAVICHA na kuwafurahisha ninyi mafisi?Mnatengeneza chuki kubwa sana.Very stupid!Bavicha hawataamini
Hivi ninyi majinga huwa mna maduka yenu maalumu ya hati punguzo kama akina mama wajawazito?Ngoja sasa wanyolewe kwa chupa
Kwa nini usipanue ubongo wako mkuu? Mbona hii ni rahisi sana na maelezo rahisi yameshatolewa hapo juu?Binadamu wengi tumejawa chuki zisizo na msingi yaani ukiulizwa hasa unamchukia mtu kwa sababu gani hatuna sababu zenye mantiki Zaidi tunachukia kwa kufata mkumbo Tu na mikumbo mingi tumekuwa tunaifata bila kujua tunacheza Ngoma za wanasiasa...
Jambazi wa kupora techno ya elfu 35...😀😀😀Hii kesi siielewagi , inawezekana kwel DC anapora Elfu 35 na simu ya Tecno?
Halafu ameandika " mtoto wa watu"!Mtoto wa watu au jambazi yule?Aisee! Kweli dunia imejaza watu tofauti tofauti!
Mibavicha ina kiherehere...iliichukulia hii kesi personal. Sasa hivi inaumbuka. Inaumbuka kila kona, kwa diamond oetition ilifeli, sabaya kiboko ya mifisadi aliyoinyoosha anapeya muda si mrefu.Kwani hii case ilifunguliwa na Bavicha?
Anajitekenya na kucheka mwenyewe...Mbona umeweka imoji ya kucheka? Kuna nini cha kuchekesha hapo?
Mataga wanajifanya hawajui...Ukifuatilia vizuri hili ni tukio limefanyika kwa wakati mmoja, walipokuwa dukani kwa Saad alimpigia diwani aje amsaidie Saad, Diwani alipofika dukani naye akawekwa chini ya ulinzi, huyu wa simu naye alinyang'anywa ili asipige simu.
Hii ni siku na eneo moja
Yaani hamna kesi hapo, hata Samia ashaona kuwa aliingizwa cha kiumeSerikali mmefeli pakubwa sana, mmemwonea bure mtoto wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepanic sana? Kwani alikufanya nini?Akili mbovu kweli weye!Kwa hiyo matendo yake yote maovu akifanya ili awaumize BAVICHA na kueagurahisha ninyi mafisi?Mnatengeneza chuki kubwa sana.Very stupid!
Acha kutetea muovu. Mnajipambanua mlivyo wapuuzi.Mtauona kama moshi ni mweupe au urujuani.Mataga ninyi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umepanic sana? Kwani alikufanya nini?
Kunywa chai kwanza bwashee
Hhahahaha kama wa Paschal MendKwa sababu mmezoea kudandia gari kwa mbele!
Hata wakati wanapitisha hii bajeti nyie mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwake mkisema mama anaupiga mwingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuonea hurumaHizo kodi za miamala zitawanyonga sana ninyi. Wapinzani hawawezi kuumizwa na hizo tozo. Wamepitia kwenye mengi ya moto kuliko hii.
Mpinzani gani wa kuhangaishwa na sh 30,000 wakati wamelipishwa mpaka zaidi ya milioni 300, na wapo wanaendelea na maisha.
Hizo tozo ni nguruwe anakula watoto wake.