Moshi mweupe kesi ya Sabaya

Moshi mweupe kesi ya Sabaya

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hiv
Kwani ameachiwa! bado anakesi ya kujibu na tena mashtaka yameongezeka! sasa hapo ahueni iko wapi?
 
anaweza kushinda kwa kuigeuza hiyo kesi ya uhujumu kuwa alikuwa anafanya kwa maslahi mapana ya nchi na ikaonyeshwa kuwa hakuhujumu kwa manufaa yake binafsi anatoka mtashangaa
Huu ni mtazamo wa kisheria au maoni yako? kumbe unaweza kuhujumu uchumi kwa maslahi ya Taifa? so hizo pesa alizohujumu katika uchumi alipeleka wapi? ili ionekane ni kwa maslahi mapana ya taifa!
 
Kwani ameachiwa! bado anakesi ya kujibu na tena mashtaka yameongezeka! sasa hapo ahueni iko wapi?
Tena hayo mashitaka mapya upande wa mashitaka wameyaongezea nguvu baada ya awali kuona yanamapungifu.

Lakini Mataga hayajui tu,ndiyo maana yanasema Moshi mweupe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Chadema mbona mnawapa sifa sana kwa kuwataja mara kwa mara kwa mambo ambayo hausiki?.
 
Huu ni mtazamo wa kisheria au maoni yako? kumbe unaweza kuhujumu uchumi kwa maslahi ya Taifa? so hizo pesa alizohujumu katika uchumi alipeleka wapi? ili ionekane ni kwa maslahi mapana ya taifa!
uliambiwa kachukuwa pesa? uhujumu uchumi siyo lazima uchukuwe pesa nakuambiautashangaa na kubaki mdomowazi akiacgiwa ndiyo tuone na chuki zenu mnafanya nini
 
Mibavicha ina kiherehere...iliichukulia hii kesi personal. Sasa hivi inaumbuka. Inaumbuka kila kona, kwa diamond oetition ilifeli, sabaya kiboko ya mifisadi aliyoinyoosha anapeya muda si mrefu.
Usije kimbia hii post yako
 
Sasa mnapiga kelele sasa hivi za nini wakati ilipokuwa inawasilishwa bajeti nyie mlikuwa mnamdemkia mama kwamba anaupiga mwingi kwa kumkamata sabaya?
Ni lini wananchi wameanza kuingia bungeni na kuchangia hoja? acha kutumia tumbo wewe
 
Wewe ndio mpumbavu!

Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi bungeni wewe na watz wengine mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwa Sabaya! Akili zote mlielekeza kwa sabaya huku mwigulu akifanya yake bungeni!

Sasa acheni kulia
Kwani wangeelekeza Bungeni ingebadili nini? Kwani Bungeni hapakuwa na Wawakilishi wa Wananchi? Hivi nyie hayawahusu hayo yanayoendelea kwa sasa? Maana kama vile hayo makato yatawahusu CHADEMA, sijui CUF, ACT na NCCR wao hayawahusu na walikuwa Bungeni?

Kwa akili hizi, bado karne kadhaa Tanzania kupata maendeleo!
 
Kelele zingekuwa nyingi kama zile za kusaini petishen ili Diamond atolewe kwenye tuzo za bet au zile za kushangilia mama alipofikishwa sabaya kisongo, angalau kina ndugai wangeshtuka na kubadili msimamo
Wewe ulipiga hizo kelele? Au halikuwa linakuhusu? Uvccm mlipiga hizo kelele au ndio kwanza mlikuwa mnapumuliana visogoni huku mkisubiri Katibu wenu wa uenezi aje awalipe 7000/?

Hizi akili ni zaidi ya Samadi ya Binadamu!
 
Lipa kodi acha hasira! Tunataka kodi tujenge barabara sisi.
 
anaweza kushinda kwa kuigeuza hiyo kesi ya uhujumu kuwa alikuwa anafanya kwa maslahi mapana ya nchi na ikaonyeshwa kuwa hakuhujumu kwa manufaa yake binafsi anatoka mtashangaa
Hiyo "kwa maslahi mapana ya nchi" ndio defense gani katika sheria? Unafahamu maana ya KUHUJUMU? Unafahamu MASLAHI? Unahujumu Uchumi wa Nchi kwa maslahi yapi? Ukihujumu umehujumu na hayo maslahi, umeisababishia serikali ishindwe kufikia lengo fulani, unless useme kwa maslahi ya Ccm na uvccm ambayo hayalindwi na Sheria za nchi na wala hayakupi kinga dhidi ya kukiuka sheria za nchi!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Kwani wanaoteseka na tozo kwa sasa ni CHADEMA pekee ?
 
Lipa kodi acha hasira! Tunataka kodi tujenge barabara sisi.
Mwanzoni mlikuwa mnajengea nini hizo barabara? Akili zenu ni finyu hivyo kiasi cha kuja na kodi za namna hii huku hamtuelezi mapato ya Gas, Hellium Gas, Dhahabu, Tanzanite yamewasaidia nini? Au ndio zile mlizokuwa mnalipwa na yule malaika wa kuzimu kuua, kuteka, kujeruhi, na kuhonga watu waunge mkono juhudi?

MEUSHIWA AKILI, MAARIFA, HEKIMA, NA UFAHAMU!
 
Back
Top Bottom