Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa wa milembe alisema anateua vichaa wenzieHivi amepimwa akili kwanza huyu mhuni?
Awamu ya 5 ilikuwa na wahuni wengi ambao naamini pia ni wagonjwa wa akili.
Kwani ameachiwa! bado anakesi ya kujibu na tena mashtaka yameongezeka! sasa hapo ahueni iko wapi?![]()
Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hiv![]()
Huu ni mtazamo wa kisheria au maoni yako? kumbe unaweza kuhujumu uchumi kwa maslahi ya Taifa? so hizo pesa alizohujumu katika uchumi alipeleka wapi? ili ionekane ni kwa maslahi mapana ya taifa!anaweza kushinda kwa kuigeuza hiyo kesi ya uhujumu kuwa alikuwa anafanya kwa maslahi mapana ya nchi na ikaonyeshwa kuwa hakuhujumu kwa manufaa yake binafsi anatoka mtashangaa
Tena hayo mashitaka mapya upande wa mashitaka wameyaongezea nguvu baada ya awali kuona yanamapungifu.Kwani ameachiwa! bado anakesi ya kujibu na tena mashtaka yameongezeka! sasa hapo ahueni iko wapi?
Chadema mbona mnawapa sifa sana kwa kuwataja mara kwa mara kwa mambo ambayo hausiki?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
uliambiwa kachukuwa pesa? uhujumu uchumi siyo lazima uchukuwe pesa nakuambiautashangaa na kubaki mdomowazi akiacgiwa ndiyo tuone na chuki zenu mnafanya niniHuu ni mtazamo wa kisheria au maoni yako? kumbe unaweza kuhujumu uchumi kwa maslahi ya Taifa? so hizo pesa alizohujumu katika uchumi alipeleka wapi? ili ionekane ni kwa maslahi mapana ya taifa!
Usije kimbia hii post yakoMibavicha ina kiherehere...iliichukulia hii kesi personal. Sasa hivi inaumbuka. Inaumbuka kila kona, kwa diamond oetition ilifeli, sabaya kiboko ya mifisadi aliyoinyoosha anapeya muda si mrefu.
Ni lini wananchi wameanza kuingia bungeni na kuchangia hoja? acha kutumia tumbo weweSasa mnapiga kelele sasa hivi za nini wakati ilipokuwa inawasilishwa bajeti nyie mlikuwa mnamdemkia mama kwamba anaupiga mwingi kwa kumkamata sabaya?
Kwani wangeelekeza Bungeni ingebadili nini? Kwani Bungeni hapakuwa na Wawakilishi wa Wananchi? Hivi nyie hayawahusu hayo yanayoendelea kwa sasa? Maana kama vile hayo makato yatawahusu CHADEMA, sijui CUF, ACT na NCCR wao hayawahusu na walikuwa Bungeni?Wewe ndio mpumbavu!
Wakati Mwigulu anasoma bajeti ya kuongeza kodi bungeni wewe na watz wengine mlikuwa busy kushangilia kukamatwa kwa Sabaya! Akili zote mlielekeza kwa sabaya huku mwigulu akifanya yake bungeni!
Sasa acheni kulia
Wewe ulipiga hizo kelele? Au halikuwa linakuhusu? Uvccm mlipiga hizo kelele au ndio kwanza mlikuwa mnapumuliana visogoni huku mkisubiri Katibu wenu wa uenezi aje awalipe 7000/?Kelele zingekuwa nyingi kama zile za kusaini petishen ili Diamond atolewe kwenye tuzo za bet au zile za kushangilia mama alipofikishwa sabaya kisongo, angalau kina ndugai wangeshtuka na kubadili msimamo
Lipa kodi acha hasira! Tunataka kodi tujenge barabara sisi.Wewe ulipiga hizo kelele? Au halikuwa linakuhusu? Uvccm mlipiga hizo kelele au ndio kwanza mlikuwa mnapumuliana visogoni huku mkisubiri Katibu wenu wa uenezi aje awalipe 7000/?
Hizi akili ni zaidi ya Samadi ya Binadamu!
Hiyo "kwa maslahi mapana ya nchi" ndio defense gani katika sheria? Unafahamu maana ya KUHUJUMU? Unafahamu MASLAHI? Unahujumu Uchumi wa Nchi kwa maslahi yapi? Ukihujumu umehujumu na hayo maslahi, umeisababishia serikali ishindwe kufikia lengo fulani, unless useme kwa maslahi ya Ccm na uvccm ambayo hayalindwi na Sheria za nchi na wala hayakupi kinga dhidi ya kukiuka sheria za nchi!anaweza kushinda kwa kuigeuza hiyo kesi ya uhujumu kuwa alikuwa anafanya kwa maslahi mapana ya nchi na ikaonyeshwa kuwa hakuhujumu kwa manufaa yake binafsi anatoka mtashangaa
Kwani wanaoteseka na tozo kwa sasa ni CHADEMA pekee ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyu Sabaya wakati anakamatwa machadema yalishangilia sana humu yakasahau hata kinachoendelea bungeni ndio yanalia sasa hivi
Mwanzoni mlikuwa mnajengea nini hizo barabara? Akili zenu ni finyu hivyo kiasi cha kuja na kodi za namna hii huku hamtuelezi mapato ya Gas, Hellium Gas, Dhahabu, Tanzanite yamewasaidia nini? Au ndio zile mlizokuwa mnalipwa na yule malaika wa kuzimu kuua, kuteka, kujeruhi, na kuhonga watu waunge mkono juhudi?Lipa kodi acha hasira! Tunataka kodi tujenge barabara sisi.
Kwani wewe haunyolewi na tozo ?Ngoja sasa wanyolewe kwa chupa