Moshi mwingi kwenye gari( Rav 4) unasababishwa na nini

Mabobish

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
367
Reaction score
282
Wana JF naomba kujuzwa Moshi mwingi kwenye gari aina ya Rav 4 unasababishwa na nini? Na ili kuondoa hali hiyo kifanyike kitu gani?
 
Moshi mweusi sana
Hii inaweza ikasababishwa na:-

-Plugs kuto kuchoma vizuri
-Uchakavu wa Ring
-Uchakavu wa fuel pump

Nakushauri uanze ukaguzi kwa kufuata moangilio nilivyo kushauri hapo juu, hii itakuepusha kuanza utatuzi wa tatizo dogo kabla ya kufikia tatizo kubwa.
 
Ahsante sana kwa ushauri Mkuu
 
Ahsante sana kwa ushauri Mkuu
Unapaswa kuwa makini sana, hapo kwenye rangi ya moshi kwasababu... Ikiwa moshi ni mweupe basi tambua kwamba valve seal zimekauka, hivyo kuruhusu kupitisha oil kwenda kwenye chamber na kusababisha kutoka kwa moshi ambao haujaungua vizuri.
 
Sawa Mkuu, moshi ni mweusi sana
 
Back
Top Bottom