Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0658300522Wana JF naomba kujuzwa Moshi mwingi kwenye gari aina ya Rav 4 unasababishwa na nini? Na ili kuondoa hali hiyo kifanyike kitu gani?
Moshi wa rangi gani??Wana JF naomba kujuzwa Moshi mwingi kwenye gari aina ya Rav 4 unasababishwa na nini? Na ili kuondoa hali hiyo kifanyike kitu gani?
Hii inaweza ikasababishwa na:-Moshi mweusi sana
Ahsante sana kwa ushauri MkuuHii inaweza ikasababishwa na:-
-Plugs kuto kuchoma vizuri
-Uchakavu wa Ring
-Uchakavu wa fuel pump
Nakushauri uanze ukaguzi kwa kufuata moangilio nilivyo kushauri hapo juu, hii itakuepusha kuanza utatuzi wa tatizo dogo kabla ya kufikia tatizo kubwa.
Unapaswa kuwa makini sana, hapo kwenye rangi ya moshi kwasababu... Ikiwa moshi ni mweupe basi tambua kwamba valve seal zimekauka, hivyo kuruhusu kupitisha oil kwenda kwenye chamber na kusababisha kutoka kwa moshi ambao haujaungua vizuri.Ahsante sana kwa ushauri Mkuu
Sawa Mkuu, moshi ni mweusi sanaUnapaswa kuwa makini sana, hapo kwenye rangi ya moshi kwasababu... Ikiwa moshi ni mweupe basi tambua kwamba valve seal zimekauka, hivyo kuruhusu kupitisha oil kwenda kwenye chamber na kusababisha kutoka kwa moshi ambao haujaungua vizuri.