Mimi tangu lini nikawa Mwalimu?Sasa kama ni vijijini waumia nn? Dada zako na nduguzo wanajua ndo town. Mmezoea kuishi mabandani lazima roho ikupwite. Unafundisha wapi? Ikuini? Ama halmashauri hapo?[emoji23][emoji23][emoji23] tutajie kijijini kwako
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umeelewa maana ya conclusion kwenye hii context?Tuanzie hapo.Tumia akili unaposoma comment,elewa comment kabla ya kukurupuka,kuna sehemu nimesema nimefikia conclusion kua ametelekezwa?soma tena comment na uzingatie alama ya kuuliza (?)
Hua sibishani na vitoto vya Shule,hivyo viswali vyako subiri waje watoto wenzako.Umeelewa maana ya conclusion kwenye hii context?Tuanzie hapo.
Jina la Kijiji tu ni KIBORO sasa unategemea nn?..
Anayekimbilia matusi ndio anaonyesha maturity rate yake.Hua sibishani na vitoto vya Shule,hivyo viswali vyako subiri waje watoto wenzako.
Kweli mkuuHatari mno....wamsamehe tu mzee wa watu, umri wenyewe umemtupa
Krismas anaanza kuiandaa mwezi wa tatu, Kwa nini isiwe pasaka basi? Kakamatwa 2017, pengine hukusoma habari yenyewe.Mpaka Ukiona Katoboa Ujue Amepiga Deal Haramu Za Kutosha
Oops!! Alikuwa Anajiandaa Na Christmas
Hahaha!ndo imkuwa centre ya kuuza mihadaratii..ilq kunq boya atakuwa kamuuzaImagine hapo Kiboro ni mjini kati ya Rombo yaani.
Njia panda ya kuelekea Moshi na Wilayani, Rombo.