Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 182
- 243
Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
- Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
- Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
- Watu ni wastaarabu sana
- Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana
- Sahivi navuta pure oxygen sio oxygen ya dar ambayo iko contaminated