Kijeba Kijeba
Senior Member
- Mar 7, 2024
- 182
- 243
Moshi mjiniMoshi sehemu gani?
Moshi mjini
Nilikuja 2024 ndio first time. Niliinjoy morning na evening walks.Moshi mjini
Exactly hakuna vurugu kumetulia vizuri sanaNilikuja 2024 ndio first time. Niliinjoy morning na evening walks.
Unatembea pembezoni mwa barabara bila kero ya bodaboda.
Nyie wachaga ni mambwa kweli ihamisheni kwenda Marekani. Sasa kwanini usihamie hapo. Wachaga wenyewe wamepakimbia we unakuja kuandika upuuzi wako huku. Hicho kijiji cha wakazi 220,000 utailinganishaje na jiji km Dsm lenye wakazi 7,000,000?Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Hakika Moshi pako Tanzania bahati mbaya
- Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
- Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
- Watu ni wastaarabu sana
- Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana
- Sahivi navuta pure oxygen sio oxygen ya dar ambayo iko contaminated
Kwani ni kosa kusifia mahali ambapo huishiNyie wachaga ni mambwa kweli ihamisheni kwenda Marekani. Sasa kwanini usihamie hapo. Wachaga wenyewe wamepakimbia we unakuja kuandika upuuzi wako huku. Hicho kijiji cha wakazi 220,000 utailinganishaje na jiji km Dsm lenye wakazi 7,000,000?
min -me TanganianNi mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Hakika Moshi pako Tanzania bahati mbaya
- Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
- Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
- Watu ni wastaarabu sana
- Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana
- Sahivi navuta pure oxygen sio oxygen ya dar ambayo iko contaminated
Uliza jiji safi ni lipi?
Ulipendelea Moshi ingekuwa wapi hapa duniani?Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Hakika Moshi pako Tanzania bahati mbaya
- Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
- Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
- Watu ni wastaarabu sana
- Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana
- Sahivi navuta pure oxygen sio oxygen ya dar ambayo iko contaminated
SwitzerlandUlipendelea Moshi ingekuwa wapi hapa duniani?
Makasiriko tayari!! Kila mtu alijua ni lazima ukurupuke mbio!Nyie wachaga ni mambwa kweli ihamisheni kwenda Marekani. Sasa kwanini usihamie hapo. Wachaga wenyewe wamepakimbia we unakuja kuandika upuuzi wako huku. Hicho kijiji cha wakazi 220,000 utailinganishaje na jiji km Dsm lenye wakazi 7,000,000?
Nauli kutoka Moshi hadi huko ni shing ngapi?Switzerland