Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Mbona povuu mkuuu,yeye amezungumzia habari ya hewa safi,makelele kero na mahekaheka nyingine ,hizo akili zako zilivyokuongoza ajazungumzia huko unakotaka kuwa ,soma uzi vizr ,na ujibu kwa kutuliaaa acha mihemukoNyie wachaga ni mambwa kweli ihamisheni kwenda Marekani. Sasa kwanini usihamie hapo. Wachaga wenyewe wamepakimbia we unakuja kuandika upuuzi wako huku. Hicho kijiji cha wakazi 220,000 utailinganishaje na jiji km Dsm lenye wakazi 7,000,000?
Ndo shida ya waafrka mkuu hujibu bila kuelewaMbona povuu mkuuu,yeye amezungumzia habari ya hewa safi,makelele kero na mahekaheka nyingine ,hizo akili zako zilivyokuongoza ajazungumzia huko unakotaka kuwa ,soma uzi vizr ,na ujibu kwa kutuliaaa acha mihemuko
Acha tuwaelekeze hichi kizazi chenye vichwa vigumuuu ,wataelewaa tuuu Mkuu taratibu na shida ni JAMIIFORUM tumevamiwa na lowest learnerNdo shida ya waafrka mkuu hujibu bila kuelewa
zamani ilikuaga saf kwel kwel na walikua na sheria kali, nakumbuka watu walilipishwa mpaka 50k kumwaga maji hovyoNi mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss
Hakika Moshi pako Tanzania bahati mbaya
- Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania
- Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm
- Watu ni wastaarabu sana
- Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana
- Sahivi navuta pure oxygen sio oxygen ya dar ambayo iko contaminated
Ile hadhi ya jf ya the home of great thinkers imepotea watu wamepageuza kuwa free stress zoneAcha tuwaelekeze hichi kizazi chenye vichwa vigumuuu ,wataelewaa tuuu Mkuu taratibu na shida ni JAMIIFORUM tumevamiwa na lowest learner
Cheap bila hela?Labda chipukizi au chipsi kavu.Maisha ya moshi yako cheap sana mkuu tatizo ni kupata hela ni pagumu sana
Ww kijijin kwako kuna wakaz wangap mkuu?Nyie wachaga ni mambwa kweli ihamisheni kwenda Marekani. Sasa kwanini usihamie hapo. Wachaga wenyewe wamepakimbia we unakuja kuandika upuuzi wako huku. Hicho kijiji cha wakazi 220,000 utailinganishaje na jiji km Dsm lenye wakazi 7,000,000?
Nyie vichaka hamkutakiwa kuwa Tanzania, mlitakiwa kuwa kwa wapuuzi wenzenu wanaokufa kila mara km kuku wa kideri. Mapumbav yanayopenda show off, sifa za kishamba ktk hakuna. Wachaga km siyo baba wa Taifa mngekuwa mafukara ya kutupwa, mmekimbia kwenu kwasababu ya njaa sasa Moshi isingekuwa TZ kungekuwa na hasara gani, Wenyeji wamekimbia kwasababu ya njaa ina mchango gani ktk uchumi wa nchi? Kinachowasumbua inferiority complex.Cheap bila hela?Labda chipukizi au chipsi kavu.
Umejieleza mengi kama changudoa kakopwa k-mnuko na msela.Tuliza zegembe hilo.Nyie vichaka hamkutakiwa kuwa Tanzania, mlitakiwa kuwa kwa wapuuzi wenzenu wanaokufa kila mara km kuku wa kideri. Mapumbav yanayopenda show off, sifa za kishamba ktk hakuna. Wachaga km siyo baba wa Taifa mngekuwa mafukara ya kutupwa, mmekimbia kwenu kwasababu ya njaa sasa Moshi isingekuwa TZ kungekuwa na hasara gani, Wenyeji wamekimbia kwasababu ya njaa ina mchango gani ktk uchumi wa nchi? Kinachowasumbua inferiority complex.
Duh hizi dharau sasa😅Wachaga wenyewe wanapakimbia, kufanikiwa kimaisha Moshi ni ngumu sana.
Moshi ni sehemu ya kupiga matambiko, kuzikana na kutuliza mizimu