Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Nikiwa Nyuma ya Keyboard ya Computer Yangu nikiwaza na kuwazua mambo kadha wa kadha Naikumbuka Hii shule, shule iliyonipa maarifa mengi tofauti na ya darasani, story nyingi za duniani nilizijua nikiwa shule hii, hata PS nilijua kuicheza nilipofika shule hii.. Shule ambayo Niliipenda saana..
Nakumbuka Matukio Mengi sana toka Najiunga Pale 2010 Nikianzia (Form One II), wanatech wanaelewa Huu Mfumo.. Nikiwa kama Mechanical Engineering Student (wanatech wanaelewa hii kuanzia Form 2 kuna kuchagua Engineering unayoitaka japo sometimes wanaforce) namkumbuka
Mwl. Nkya akiwa mwl wetu wa Mech. Draughting, Heshima yako Academic popote Ulipo
Mwl. Koba akiwa mwl wa Engineering Science, Heshima yako Genius Popote Pale
Mwl.Temba(Madam) mwl wa Maths na class teacher (Namkubali Kinoma, Heshima yako Madam popote ulipo
Mwl. Masaule (Madam) alikuwa mnoko kinoma, anyways namkubali alikuwa akifanya kazi yake (alininyang'anya sweta jipya nilivaa mara moja tu)
Mwl. Mpande alikuwa mwl. wa mchezo, namkubali sana.. Heshima kwako Mkuu Mpande
Mwl. Adabu huyu stiki yake sio ya Dunia Hii, Mshikaji haukuwa Mnoko Big up saana
Mwl.Lema Mshikaji wangu Kinoma, alikuwa second master, Form four Nilikuwa nifukuzwe shule Mwana akanitetea.. Respect sana Mwl. Lema Popote Ulipo!
Tukio ambalo sitasahau ni Tulipokamatwa Pale Magereza ya Moshi (Mara nyingi tunaangalia Mpira Hapa) tukitoka Kuangalia mechi ya UEFA R.Madrid na Ac Milan kwanza tulikamatwa na wale askari Magereza wakatulaza chini waktuambia tubiringite ikawa mkiki mbaya wakapiga simu shule saa 5 usiku rokoo(Roll Call) ikapitishwa waalimu kina Kisuu na Mpande wakakuta Zaidi ya Nusu ya Shule hawapo kwenye Rokoo wakashindwa kutupa spa. wakatupa Adhabu tu, Niliogopa kinoma spa.
Mbali na Hayo Namkumbuka Dada Asha wa Vimbuzi, Maza Mtamu wa Vimbuzi N.k
Je wewe wewe ulisoma Darasa gani na unamkumbuka nani na nini? tukio gani hasa uliwahi kufanya.. unalikumbuka mpaka leo?
Motto wa shule.
Mwl. Nkya nadhani amestaafu sasa..
mnakumbuka hili jiko la waislamu?
Assembly Hall.
Kwa sasa Kuna Huu Motto