Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Eti tatizo kwetu downtown, aisee nimecheka.
 
Duh! hii kali ya mwaka! Le mutuz msanii wa kizazi kipya? hivi kwa mzee wake alifukuzwa au? mbona mzee mzima anadhalilika mjini?
 
Namshauri ajikite kwenye (color=red)COUNTRY MUSIC(/color).
 
le bilionare anayemiliki noah mjini
le bilionare anayeongoza kupiga picha na watoto wakaree
le bilionare anayejuana na wasanii wote town
kufwa for him plzzz kama ukubali.....
 
Ok fanya jaribio mtukane hadi kesho afu le mutuz atakuja hapa yuko happy tu

Siyo kweli mkuu, kila binadamu ana moyo wa nyama sema basi tu anajikaza.

Ingekuwa hivyo asengekuwa anawablock followers wanaomchallenge kwenye page yake ya insta, hana jinsi tu hata hapa angeblock.
 
Baba Swalehe ana talent, demo ya wimbo wake mpya naitumia kwenye ringtone
 
mbona kama umri hamzidi bi kidude? afu uzee au ujana ni kuji--update mnyewe!; kuna vijana wa miaka 25 lakini anakula ugolo
na ulaka shati lefu kuliko ulefu ukimuangalia usoni kama kapata ajali.. babu kasingiziwa! lakini mzee was miaka 60 amejiweka sop sop as if yuko na moaka 25..
 
Hivi huyu mtu mbona simwelew elewi au alivuka stage, kwa nini akina baba wenzake wenye mapenzi mema msimshauri jinsi ya kuishi kulingana na umri uliofikisha.

kukukibali kwamba umri huu ni wakulea kufanya kazi kwa bidii, kutunza family watoto wasome wapate sehemu nzuri ya kuishi.
""HOW TO AGE GRACEFULLY" asome hii ktabu itamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…