Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Kwetu downtown [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kwani huyu jamaa kawafanya nini wabongo maana kila mtu anamponda .............. mbona mi namuona yuko pisi sana ???
 
Kwani huyu jamaa kawafanya nini wabongo maana kila mtu anamponda .............. mbona mi namuona yuko pisi sana ???

Mkuu utani tu.

Wengi wetu tunamkubali sana akili kubwaz nikiwemo mimi, ningependa siku moja aingie bongo movie akachuane na wakina JB..
 
50+ miaka 3 ilopita!!! Dah! Ukubwa dawa lakini. Msaga sumu mpokee atakufaa
 
Le Mutuz ana miaka 61?

Watu wamejuaje? Walimzaa wao?

Halafu watu wanafiki kweli. Jamaa akianza kuponda wabeba maboksi anaonekana wa maana. Anaamika.

Lakini ikija kwenye mambo yake mengine mnamdhihaki.
 
Unamzungumzia mtaalamu wa kutwanga fotoo na le mabebez wakati hajawahi hata kuwaonja...
 
Jamani samahani kuna mtu aliwai nipa ubuyu eti lemutuz ndio mmiliki wa JF....tafadhali naomba kupewa jibu sahihi nimalize mgogoro na huyu jamaa yangu.
 
Lakini sio haki kila siku kuja kumponda Le mutuz afu jamaa mwenyewe hana mpango nao binafsi namkubali huyu le akili kubwa ni mtu wa michongo mwisho wa mwaka jana aliniunganishia issue yangu iliyokua imekwama nikapiga m 15 mtumieni badala ya kuleta umbea

Naweza mpataje huyu mtu....nipatie waya wake nimpandie hewani ila sio michongo ya pesa....ni mishe tu
 
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila huyu jamaa huwa mnamuonea sana, LE BIG BICHWAAAAZ
 
Le akilibwaz
King of all social media mwenye insta followers chini 200k.
Mzee wa degree 3
Mzee wa kunywa evening tea pale double tree masaki every evening.
Mzee wa kuishi downtown 5 mins from office.. You know.
Brand ambasador wa asasi dairy.
Brand ambasador wa salama condoms.


Le akili kubwaz... Le mutuz...kwani kuna mwenye tatizo huko
Huyu jamaa akifa atakumbukwa kwa mabaya tuu
 
Back
Top Bottom