Kwani huyu jamaa kawafanya nini wabongo maana kila mtu anamponda .............. mbona mi namuona yuko pisi sana ???
Ok fanya jaribio mtukane hadi kesho afu le mutuz atakuja hapa yuko happy tu
mhh le mutuz alikuwa wapi kuwa msanii wakat anamiaka 30
Lakini sio haki kila siku kuja kumponda Le mutuz afu jamaa mwenyewe hana mpango nao binafsi namkubali huyu le akili kubwa ni mtu wa michongo mwisho wa mwaka jana aliniunganishia issue yangu iliyokua imekwama nikapiga m 15 mtumieni badala ya kuleta umbea
Sio JF tuuu anamiliki mpaka instagram..Jamani samahani kuna mtu aliwai nipa ubuyu eti lemutuz ndio mmiliki wa JF....tafadhali naomba kupewa jibu sahihi nimalize mgogoro na huyu jamaa yangu.
Huyu jamaa akifa atakumbukwa kwa mabaya tuuLe akilibwaz
King of all social media mwenye insta followers chini 200k.
Mzee wa degree 3
Mzee wa kunywa evening tea pale double tree masaki every evening.
Mzee wa kuishi downtown 5 mins from office.. You know.
Brand ambasador wa asasi dairy.
Brand ambasador wa salama condoms.
Le akili kubwaz... Le mutuz...kwani kuna mwenye tatizo huko
Kwa nini mkuu, mbona yuko poa tuHuyu jamaa akifa atakumbukwa kwa mabaya tuu