Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

zipo kazi hakika zina expire mapema but sio muziki!!
mf.lawyer na doctors ni watu wanaoweza kuhudumu mpaka katika hali ya ukongwe wao!
same to musician!
 
Kweli kabisa. Kwamba kuna tabia zinaendana na umri.
 
Ila jamaa hua anapiga picha akiwa kwenye apartment flani ivi, ndo anapaita home
 
Le Mutuz anataka pakutokea nae azidi kujulikana. Vizuri kama ameamua kuimba, ajitungie zakw au afate wasanii wengine.
Mbona baba swalehe imesha mtoa bila hata yeye kuimba?
 
Oooohhh...mpeni chance jamani.. Juzi nimemwona mzee wa 70 yrs kwenye america got talent na amefanya mambo makubwa! Wakamuliza kwa nini ameficha kipaji cku zote??? Anasema alikua akisumbuliwa na kigugumizi!!!tehteh
 
Aisee huyu mtu naye ajirafakari upya kwakweli!
Kama vipi arudi baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…