Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"

Bado ipo nafasi ktk Taarab na Rusha Roho....
Bado kuchelewaa...
 
Duh kumbe ni brand ambassador wa Salama, ila atakuwa amewahi kuzitumia kweli? Maanake mimi namwona anapenda sifa tu kupiga picha na wanawake warembo[emoji12] [emoji12]
 
Duh kumbe ni brand ambassador wa Salama, ila atakuwa amewahi kuzitumia kweli? Maanake mimi namwona anapenda sifa tu kupiga picha na wanawake warembo[emoji12] [emoji12]
Mkuu hata kuzipuliza tu ni matumizi au kuvaa miguuni kama soksi
 
afu vitoto vinavyo mtukana lemutuz huku kny social media,ukute ni watoto wake wa kuwazaa kiumri,unamsema mwenzako luku,ukute unapeleka hela ya sukari kwa matumizi huko kijijini kwenu,na kama hupeleki sawa,just leave him alone.
 
Mbona kama ni attack tu zisizokuwa na mashiko...
Bado siku 5 kufikia Sept 1
 
Nina picha moja Le Mutuz kapiga Kalikiti kichwani enzi hizo lakini hakutoboa! Bado na uzee huu anataka kuimba Bongo Flavor?
Le mutuz utozi anaupenda ila jiografia ya mwili wake ndo unamuangusha. ..yale mashati yake kama anafua mwenyewe atakuwa anapata sana tabu kuyaanika maana mzigo mpana mithili ya pazia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MSAGA SUMU uko wapi urudishe enzi?
Tunakumiss ujue?
 
Huyu mwaneno naona katutupa kabisa kwa sasa, hatupi newz tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipoona hii quote hata kabla sijafungua nimecheka sana.
Mwanetu MSAGA SUMU nilimuuliza akaniambia akileta thread za hivi mods wanazifuta.

Hawa watu sijui vipi bwana,hakuna burudani kubwa huku celebrities kama news za Le Mutuz kutoka kwa my son.
I really miss those days
Damn!
 
Huyu mwaneno naona katutupa kabisa kwa sasa, hatupi newz tena.
Msijali wadau (bibi mkubwa +Raimundo) kuna kigongo kimoja nakiandaa cha Lemkubwaz kuhusu suala la Donald Trump na mtikisiko wa bongo social media
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…