franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Bado ipo nafasi ktk Taarab na Rusha Roho....
Bado kuchelewaa...
Bado kuchelewaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh hapo kwenye degree ya kuogelea na kupiga makasia nimecheka sana JF raha tupu...Hahahahaaa subiri aje....
Mzee wa downtown you know....
Jana nimeona post yake usiku instagram nimecheka sana.
cc Ruttashobolwa
Duh kumbe ni brand ambassador wa Salama, ila atakuwa amewahi kuzitumia kweli? Maanake mimi namwona anapenda sifa tu kupiga picha na wanawake warembo[emoji12] [emoji12]Le akilibwaz
King of all social media mwenye insta followers chini 200k.
Mzee wa degree 3
Mzee wa kunywa evening tea pale double tree masaki every evening.
Mzee wa kuishi downtown 5 mins from office.. You know.
Brand ambasador wa asasi dairy.
Brand ambasador wa salama condoms.
Le akili kubwaz... Le mutuz...kwani kuna mwenye tatizo huko
Mkuu hata kuzipuliza tu ni matumizi au kuvaa miguuni kama soksiDuh kumbe ni brand ambassador wa Salama, ila atakuwa amewahi kuzitumia kweli? Maanake mimi namwona anapenda sifa tu kupiga picha na wanawake warembo[emoji12] [emoji12]
Le mutuz utozi anaupenda ila jiografia ya mwili wake ndo unamuangusha. ..yale mashati yake kama anafua mwenyewe atakuwa anapata sana tabu kuyaanika maana mzigo mpana mithili ya paziaNina picha moja Le Mutuz kapiga Kalikiti kichwani enzi hizo lakini hakutoboa! Bado na uzee huu anataka kuimba Bongo Flavor?
Hahahahahahahaaa kwamba ni Mundesh mwanzo mwishoHapa unamzushia, unakuwaje ambassador wa bidhaa usiyotumia?
Acha kumjaza brole mutuz
usikatishwe tamaa! / katika fani isijali wala kuangalia umri ni MUSICS,.
madhari sauti inatoka chapa mwendooo!!!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MSAGA SUMU uko wapi urudishe enzi?
Tunakumiss ujue?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipoona hii quote hata kabla sijafungua nimecheka sana.Huyu mwaneno naona katutupa kabisa kwa sasa, hatupi newz tena.
Huyu mwaneno naona katutupa kabisa kwa sasa, hatupi newz tena.
Msijali wadau (bibi mkubwa +Raimundo) kuna kigongo kimoja nakiandaa cha Lemkubwaz kuhusu suala la Donald Trump na mtikisiko wa bongo social media[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilipoona hii quote hata kabla sijafungua nimecheka sana.
Mwanetu MSAGA SUMU nilimuuliza akaniambia akileta thread za hivi mods wanazifuta.
Hawa watu sijui vipi bwana,hakuna burudani kubwa huku celebrities kama news za Le Mutuz kutoka kwa my son.
I really miss those days
Damn!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] can't wait.Msijali wadau (bibi mkubwa +Raimundo) kuna kigongo kimoja nakiandaa cha Lemkubwaz kuhusu suala la Donald Trump na mtikisiko wa bongo social media
Ahha haah usijali bibi mkubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] can't wait.
Unitag kabisa my son.
Thanks in advance.