Moshi unafuka,Diamond amekataa Lemutuz kurudia wimbo wa "tatizo kwetu Mbagala"


Msijali wadau (bibi mkubwa +Raimundo) kuna kigongo kimoja nakiandaa cha Lemkubwaz kuhusu suala la Donald Trump na mtikisiko wa bongo social media

Please do it ASAP tuuanze mwaka na vicheko.

Halafu The bold anaandika, Kumbe ni MSAGA SUMU! Eti source mimi mwenyewe.
 
Huyu jamaa anavyopenda kujigamba mitandaoni kuwa yeye ni akili kubwa sasa kulikoni kukopi kazi za wengine kwanini asifanye kazi yake mwenyewe bila kuigiza vya watu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…