Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani.

Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi Kituo kikuu cha Bomang'ombe kuwaachia huru vijana hao ilihali ripoti ya Daktari inaonyesha kuwa ni kweli kuwa kijana huyo kaingiliwa na pia kijana huyo kukiri na kuwatambua watuhumiwa wote waliohusika kumfanyia kitendo hicho.

Baadhi wakazi wa kata hiyo pamoja na wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo hicho na kusema kuwa wamekosa Imani na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa vijana hao kutoa rushwa Polisi na hivyo kuachiwa huru.

Pia soma - Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi
 
Tukisema ukweli ushoga urasmishwe wazi, ili wahusika wawe huru ktk mambo yao, watu wanapovukwa na kuhemkwa, wakati raia wengi wanapenda sana anal sex, tena kwa Homo. Sasa ndo wanawafata hao walemavu kwa siri ili wasijulikane.

Bado watalawitiwa had watoto wachangaa, ndo akili zitawakaa vyedi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
polisi hawatoi Hukumu, inawezekana wamepata dhamana maana kosa lao linadhaminika. Tuendelee kusubiri kama hawatapelekwa mahakamni ndio upaze sauti. Tatizo watanzania tunataka mtu akituhumiwa leo kesho afungwe sijui kuna faraja gani ukiona mtu anafungwa.

Tuendelee kuwa na subira
 
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani.

Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi Kituo kikuu cha Bomang'ombe kuwaachia huru vijana hao ilihali ripoti ya Daktari inaonyesha kuwa ni kweli kuwa kijana huyo kaingiliwa na pia kijana huyo kukiri na kuwatambua watuhumiwa wote waliohusika kumfanyia kitendo hicho.

Baadhi wakazi wa kata hiyo pamoja na wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo hicho na kusema kuwa wamekosa Imani na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa vijana hao kutoa rushwa Polisi na hivyo kuachiwa huru.
Linadhaminika
Kikubwa liende mahakamani
 
Tukisema ukweli ushoga urasmishwe wazi, ili wahusika wawe huru ktk mambo yao, watu wanapovukwa na kuhemkwa, wakati raia wengi wanapenda sana anal sex, tena kwa Homo. Sasa ndo wanawafata hao walemavu kwa siri ili wasijulikane.

Bado watalawitiwa had watoto wachangaa, ndo akili zitawakaa vyedi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujazuiwa mama..we toa tu kinnyeo ni haki yako ah ah
 
Yanayofanyika duniani siku hizi yanasikitisha sana,ushenzi na unyama vimeongezeka na dalili kwamba ipo siku vitapungua au vitaisha kabisa hazipo.
 
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani.

Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi Kituo kikuu cha Bomang'ombe kuwaachia huru vijana hao ilihali ripoti ya Daktari inaonyesha kuwa ni kweli kuwa kijana huyo kaingiliwa na pia kijana huyo kukiri na kuwatambua watuhumiwa wote waliohusika kumfanyia kitendo hicho.

Baadhi wakazi wa kata hiyo pamoja na wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo hicho na kusema kuwa wamekosa Imani na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa vijana hao kutoa rushwa Polisi na hivyo kuachiwa huru.
Inasikitisha, Tufanyaje ?
 
Back
Top Bottom