Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

Tukisema ukweli ushoga urasmishwe wazi, ili wahusika wawe huru ktk mambo yao, watu wanapovukwa na kuhemkwa, wakati raia wengi wanapenda sana anal sex, tena kwa Homo. Sasa ndo wanawafata hao walemavu kwa siri ili wasijulikane.

Bado watalawitiwa had watoto wachangaa, ndo akili zitawakaa vyedi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una watoto?
 
Hkn kitu Kama hcho kuwa uwalalishwe ni Kwamba sheria Kali itungwe kwa wafiraji ili hao mashoga wakose soko la uhakika

Sheria iwe ikidhibitika unalawiti watoti na kupenda kufira wezako Basi Ni jela miaka 7 na faini m 3
 
Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani.

Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo cha jeshi la polisi Kituo kikuu cha Bomang'ombe kuwaachia huru vijana hao ilihali ripoti ya Daktari inaonyesha kuwa ni kweli kuwa kijana huyo kaingiliwa na pia kijana huyo kukiri na kuwatambua watuhumiwa wote waliohusika kumfanyia kitendo hicho.

Baadhi wakazi wa kata hiyo pamoja na wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa na kitendo hicho na kusema kuwa wamekosa Imani na jeshi la polisi kwa madai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa vijana hao kutoa rushwa Polisi na hivyo kuachiwa huru.

Pia soma - Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi
Dhamana ni haki ya kila mtuhumiwa,
Mahabusu ya polisi siyo magereza, haufungwi ukiwa mahabusu, magereza ndo umefungwa
 
Back
Top Bottom