Moshi wa Dampo la Tabata ulivyotia dosari ziara ya Papa John Paulo II mwaka 1990

Hii ni habari ya UWONGO WA MCHANA.
Kwanza ni kwamba babara rasmi ya wageni wa Ikulu hadi maka 1990 ilikuwa ni Puhu Road (siku hizi Nyerre Rd), then Port Acess (siku hizi Mandela Rd) halafu Uhuru Road. Ikifika Cloctower inapita Railway Street halafu City Drive (siku hizi Sokoine Rd) then Ikulu. Kwahiyo issue ya kupita Tabata ni fabrication tu

Niinaikanusha kwa nguvu zote. Mimi nilikuwa na umri wa miaka 30 wakati huo na kazi yangu ilikuwa ni maeneo ya Pugu Road. Nilifunga Ofisi kuznzia saa 8 na kwenda Buguruni Polisi. Msafara wa Papa John Paul II ulipita mida ya saa 10-11 za jioni na ulipotoka Pugu Road ni kweli ulikata kushoto kuja Buguruni. Kisha ulipofika Buguruni Mataa ukakata kulia kuingia Barabara ya Uhuru. Nami nilimshudia papa John Paul II nikiwa pembeni ya Polisi Buguruni akiwa kwenye gari ya wazi pamoja na Cardinal Rugambwa. Ila kwenye msafara naye Rais Mwinyi na Nyerere walikuwapo.

Habari za Tabata ni za UWONGO.
 
Huyu papa wengine tulikuja kumuona hapo St Joseph cathedral,baada,ya kutolewa shule St Joseph forodhani na kwenda kupangwa hapo kanisani
πŸ˜„

Ova
Kipindi cha mkuu Saiwadi au Mwl Chuma?
Inawezekana tumesoma woteπŸ€”
Mwl Mbuya, Manyama, Mwalongo sister CatherineπŸ€”
 
Vitu viwili muhimu umesahau kuwahabarisha wana JF.
1. Hakukua na Mandela road wakati huo. Kulikua na Port Access
2. Papa baada tu ya kukanyaga ardhi ya Tanzania, aliporomoka na kusujudu kama wafanyavyo Waislamu huku akielekea kibla.
 
Mimi bila kufika Chuo Kikuu nadhani ingenichukua miaka mingi zaidi kuja mjini Dsm. Mara ya kwanza kufika Dar ni 2007 nililala Mabibo Hostel siku ya kwanza. Kabla ya hapo Dar nilikuwa naiona ITV kwenye jiji letu kila saa 12.
Sio wewe tu ni wengi sana mkuu, na ndo haohao wanasema elimu haina maana, bora wachane vyeti wakati huo ni mawinga kariakoo na karume ilhali ni elimu hiyohiyo iliyowaleta mjini bila chuo wangeishia miji midogo ya huko kwao.
 
Ahsante kaka yangu ulienizidi miaka 10
 
Sio wewe tu ni wengi sana mkuu, na ndo haohao wanasema elimu haina maana, bora wachane vyeti wakati huo ni mawinga kariakoo na karume ilhali ni elimu hiyohiyo iliyowaleta mjini bila chuo wangeishia miji midogo ya huko kwao.
Ndugu zangu wengi kwenye ukoo walikuja mjini mwaka 2016 kwenye harusi ya binamu aliyekuwa anaolewa.
 
Kabisa,imaginemiaka ya 90 wakazi wa Tabata tulikuwa tunafahamiana.
Segerea ilikuwani machimbo ya mchanga,Kinyerezi ilikuwa mashamba ya mikorosho,kimanga kulikuwa na nyumba chache sana.
Miaka ya 90 Tabata iliishia Baracuda
Waandika historia ya Tanzania ni majanga. Mtu anakaa anafikiri kichwani na kutunga. Elimu imefanya tuwe wavivu sana kufanya research. Papa alikuja wakati Mwinyi akiwa rais halafu wewe unadanganya mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…