Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Siku ikifika hauwezi kuzuia hata uwe makini vipi...maisha ya duniani ni magumu Sana tena yamejaa taabuHii ya kuwaacha watoto kwenye nyumba peke yao huku viberiti viko juu juu ni hatari sana. Majuzi kati imetokea maeneo ninayotembelea (siweki picha), dogo aliachwa ndani peke yake, akaona kiberiti akawasha, alipoona moto unamuunguza akatupa ile njiti ikadondokea kwenye uvungu wa kitanda ikakutana na mavitu yanayoshika moto, ikawa balaa. Bahati nzuri raia wakawahi kumtoa lakini mle ndani..hasara tupu!
Nadhani kwa kiasi fulani inapunguza riskSiku ikifika hauwezi kuzuia hata uwe makini vipi...maisha ya duniani ni magumu Sana tena yamejaa taabu