Huyo Mwamposa hana tofauti na bashite anawauzia mafuta ya mawese,hizo roho za marehemu zitamtafuna huyo tapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nguvu ya Mwamposa ni ya Yesu au ni ya Nana Bonsam?
Hali ni ngumu mitaani watu wanatapatapa kila mahali kunusuru hali zao.
Huko si makao ya chademaUjinga ujingani yote haya ni sababu ya CCM
Historia hujirudia. Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa na hivyo kudaganywa na wajanja. Alikuwepo Kibwetere akawaponza wafuasi wake yeye haifahamiki vizuri yuko wapi. Bulldozer baada ya kusababisha dhahama hiyo ndo kwanza anapanda ndege kurudi zake Dar badala ya kuongoza ibada ya mazishi ya hao waliokufa!Manabii wa uwongo tu mafuta yanakaa kanisani
Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
Mkuu mtaji wa wajinga huu hakuna reasoning kabisaWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Kizazi cha ajabu sana hiki, eti hata kuoga tu kawaida kitengenezewe mashine za kuwaogesha, kukuna nazi ni shida pia hadi AZAM Company iwatengenezee chemicalized coconuts za kumimina tu kwenye vyakula sababu ya uvivu tu...[emoji35]Watu wamekuwa ni wavivu kumtafuta Mungu wa kweli. Wanakimbilia miujiza tu. Waache wafe kwa ujinga wao
Sent using Jamii Forums mobile app