Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

..."Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" - Mwenyezi
 
Kilichotokea ni ajali kama ajali nyingine.
Pole zangu kwa wafiwa, marehemu wapumzike kwa amani.
 
Sasa mnalaumu nini mbona kila mwaka waislamu wanakanyagana huko makka kwa kumpiga shetani mawe matokeo yake wanakufa kwa mamia na bado wanaenda huko kila mwaka? Imani ni kitu huwezi zuia ila kinachotakiwa Ni kuwepo utaratibu mzuri utakaosimamiwa na vyombo vya usalama wakati wa ibada kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manabii wa uwongo tu mafuta yanakaa kanisani
Historia hujirudia. Watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa na hivyo kudaganywa na wajanja. Alikuwepo Kibwetere akawaponza wafuasi wake yeye haifahamiki vizuri yuko wapi. Bulldozer baada ya kusababisha dhahama hiyo ndo kwanza anapanda ndege kurudi zake Dar badala ya kuongoza ibada ya mazishi ya hao waliokufa!
 
Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.

Mtasema serikali inaingilia uhuru wa kuabudu
 
Ukute ni mafuta ya alizeti yalimwagwa dumu 3 kutoka Singida ... Majinga yakakimbizana kwenda kukanyaga kama diamond "Kanyaga Kanyaga "...


Mjue hii nchi imejaa mapuuzi na majinga halafu kuna matapeli kanisani kama mwamposa yamekaa kutapeli watu ... Watu sampuli ya hao wafu wajinga ni ishara tosha kwanini CCM iko madarakani ... Unafunga safari kutoka kwako kwenda kukanyaga mafuta ya alizeti kwa tapeli moja tena lihuni lihuni...


Hivi intelijensia ya policcm haikujua hili ???


Hao misulule iliyokufa ifikie motoni na Huyo mwamposa afikishwe mahakaman haraka Sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuh hapa nyumban mmeniangusha ayseee,bora hata yangekuwa ya kupikia ila c haya ya wanaojiita manabiii kumbe matapel tu
 
Watu wamekuwa ni wavivu kumtafuta Mungu wa kweli. Wanakimbilia miujiza tu. Waache wafe kwa ujinga wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kizazi cha ajabu sana hiki, eti hata kuoga tu kawaida kitengenezewe mashine za kuwaogesha, kukuna nazi ni shida pia hadi AZAM Company iwatengenezee chemicalized coconuts za kumimina tu kwenye vyakula sababu ya uvivu tu...[emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom