Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Ndo umeongea nini sasa we kolo. Kwahiyo ndo tuseme bado uko kwenye box na bila aibu unatolea ufafanuz ukolo wako. Ficha ujinga wako. Mbona wenzako wanaenda kwa mganga kimya kimya?
 
Huyu hawezi chukuliwa hatua yeyote maana ana ukaribu na DAB na Leo alikuwa na kongamano kawe
 
Kwanini asiombee mafuta yatokayo viwandani 1 kwa 1 watu wakinunua madukani wapone shida zao badala ya hapo kanisani? Mwamposa ni Nabii wa uwongo kama ilivyonenwa katika MATHAYO 24 yote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Sio wote waishio Moshi ni wachagga. Hakuna mchaga utamkuta Majengo uwanjani saa 5 usiku.
 
Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Nahisi hao waliokufa ni raia wahamiaji kutoka mikoa mingine, mi siamini kama wachaga nao ni wajinga hivyo. ,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kusoma maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kukosa maarifa
Sio kusoma maarifa.


Anyway huyo mwamposa ni kijana wa mzee wa upako ila sasa naona kamzidi kete hadi aliye muonyesha janja janja
Ila umaskini ni mbaaaya sana Hawa watu ni matapeli tu sema Imani nayo ngumu hadi mtu akuelewe kuhusu utapeli wao
 
Yaache yapukutike tu maana kila siku Aroon anayahubiria hapa JF lakini hata hayasikii, yanadhani Mungu aliandika tu habari hizo kama stories za vijiweni [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…