Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Hivi ni akili za kawaida hizi au??? Hivi wanafataga nini huko?
 
Wenye wivu na wachaga washaanza kutoa hukumu hapo kwani nani kasema moshi wapo wachaga tuu au waliokufa wote wachaga?? So manake mwamposa angekuwa dar wangekufa wandegereko au sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta ni hatari sana, baada ya Msamvu Morogoro sasa yamehamia Kanisani Moshi.
 
Mungu wa Mangi Meli na Mangi Sina, amekasirika hataki hila na udanganyifu kwenye ardhi yake: kuinajisi kwa miungu ya kigeni.
 

!
!
Kwa Hiyo Walivyomtia Mbaroni Wakamuachia Tena Au? Maana Ndege Ilikuwa Delayed Akakamatwa Sasa Ajisalimisheje Tena?
 
Angalia hayo makanisa ya wanaojiita manabii na mitume, asilimia 95 ni wachaga.
Hapana mkuu hapo umedanganya. Hivi ulishawahi kusikia hata hawa wanaojiita 'manabii' hata mmoja ni mchaga?

Pamoja na sisi wachaga kusemwa kuwa tunapenda dough na tunajua kuzisaka lakini hatuwezi kutapeli watu kwa mgongo wa dini, pia hatuwezi kutapeliwa kirahisi. Majority ya wachaga ni RC, Lutheran na Muslims. Huko kwa walokole utawakuta wengi ni wa kanda za kusini kusini huko.

Kufa hao watu Moshi haimaanishi ni wachaga kwasababu Moshi hawaishi wachaga tu. Simple logic.
 
Umasikini wa mali hupelekea umasikini wa fikra.
 
Hao ndio wanajinasibu kwamba wamesoma, matajiri na waelewa. Kumbe ni mbumbumbu wa kutupwa. Hili kabila ni shida wanatafuta mali kwa nguvu. Jambo hili lingetokea sehemu nyingine ungesikia wachagga wanavyotoa povu. Hata hivyo tunasikitika kwa tukio hilo.
wachaga ni washamba sana...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…