Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Mkuu, mbona unaongea kama sio mtanzania?Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
Hunipati.ni kweli kifo hakizoeleki ndugu lakini kuwalaumu wahanga na kumuunganisha mhubiri kabla ya ripoti ya uchunguzi toka kwenye mamlaja husika tunakosea au tuseme tunaongozwa na hisia.
mashariki ya kati kila mwaka idadi kadhaa ya mahujaji hukutwa na visa hivyo hivyo wakiwa kwenye zoezi la kurusha mawe kwenye mnara na imeshapokelewa na kuzoeleka; watu na mamlaka za huko hazichukui tahadhari kubadili utaratibu.
kwa mlinganyo huo, kuna tofauti gani na hilo?
FaizaFoxy
Sent using Jamii Forums mobile app
mbaya wanaenda na watotoWatu wamekuwa ni wavivu kumtafuta Mungu wa kweli. Wanakimbilia miujiza tu. Waache wafe kwa ujinga wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kweli mafuta yanatoa umasikini?kweli siku hizi uwezo wa kufikiri umekwisha kabisa.
Akamatwe kwa kosa gani wakati wapuuzi mijiwatu akili kisoda imejidhuru yenyewe kwa yenyewe ?ye mjanja mpiga dili anasuhusika vipi hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mijing kbs sijui lini mtapata ufahamuTatizo lenu waswahili mkiona mnazidiwa ki-hoja na wengine mnakimbilia matusi, penda kupinga watu kwa hoja sio matusi, kama unaona haipendezi endelea kushindana na watu kutukanana ovyo na kupoteza muda maana si ndio sehemu yenu ya maisha,
ππππππMwingine yuko ghana kasema apewe 10% ya utajiri wa kobe amfufue,yani hawa manabii nkiwakuta mbinguni najiua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaangamizwa SIO wanaangamiaWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Mwamposa inabidi awekwe LockUp kwanza,anawaaminisha watu wakanyage mafuta bila kuchukua tahadhari za usalama wao,sehemu ya kupita ni ndogo na hivyo imesababisha waamini wake 20 wapoteze maisha,anastahili KIFUNGO.Huyo mchungaji hata hakamatwi? Kama hayupo kizuizini mpaka sasa basi serikali imeoza, ikafukiwe tu tuendelee na maisha yetu.
Jamaa huwa namwelewa sanaNakumbuka Mwakasege aliahirisha Mkutano wake pale karimhee baada ya kuona nyomi ya watu ni wengi sana
Yaani hawa wachaga waliokufa wamezidi waliokufa Kwa tetemeko la Ardhi huko bukoba.Sasa hivi Mwamposa ametulia hotelini na mchepuko wake wanahesabu hela huku wachagga wanakodi mahema ya misiba. Kamatahii mutu. Fungia ndani. Ndalichako njoo kuna nwingine huku anahitaji ung'eng'e wako akalale ndani.
Mkuu, hakuna akataye kubeza zaidi ya waumini wa hiyo dini waliokisa maarifa.Nitabezwa sana na wenye ufahamu mdogo lakini hilo lilifanyika kama kafara.. Na mwenye hiyo siri ni mhusika mkuu
Jr[emoji769]