Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Mkuu, mbona unaongea kama sio mtanzania?Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
Amin, nakuambia, serikali ikifanya hivyo, watu wa haki za binadamu na hao waumini wataandamana. Maige nae hataenda marekani maana wenye midomo wataenda kusema.
wawaache tu hadi aliyewatwisha hili zigo aje awatue mwenyewe.