We jamaa jinga kweli , yani unataka kuleta ile battle yenu ya Wachaga VS wahaya mpaka kwenye misiba.....Yaani hawa wachaga waliokufa wamezidi waliokufa Kwa tetemeko la Ardhi huko bukoba.
Yaan ujinga huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibali kilimruhusu afanye mahubiri kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi na yeye alimaliza mahubiri hayo saa ngapi?Aliomba kibali ndyo na alikubaliwa
kibali hakuomba yeye aliomba mtu mwingine yeye alienda tu kuhubiriAliomba kibali ndyo na alikubaliwa
Mambo ya imani siyo magumu hata kidogo.Mkuu hayo mambo sio Africa tu.
Ni dunia nzima.
Hujawahi sikia huko macca inavyokuwaga
India je .ni dunia yote ,mambo ya imani ni magumu sana
Mkuu hawa jamaa wanaojiita manabii wanachuma ulete yao. Wanakamata sana watu hata wenye elimu kubwa tu na hasa ikitokea kukawa na tatizo watu wengi awataki kukubali kwamba changamoto ni sehemu ya maisha yetu. Wanakimbilia kupata tumiujiza bila kujua kuwa huko wanakojipeleka wanaweza kuwa wanajiongezea taabu zaidi kama hizi za kukanyagana, nk.
hapo hakuna reason ya kufungwa endapo aliomba kibalj na kibali syo lazima aombe yeye bali anaweza kuomba yoyote isipokuwa kwenye maelezo ndo inabibi waseme dhumuni la hilo kongamoano na watu gani watakuwepo na yapi yatafanyikakibali hakuomba yeye aliomba mtu mwingine yeye alienda tu kuhubiri
Ila ukiomba leseni ya udereva na ukagonga mtu kwa bahati mbaya unadhani utaachwa? NO! Why? Because umepewa leseni ya kuendesha chombo cha moto na sio leseni ya kugonga mtu, tuko pamoja?Aliomba kibali ndyo na alikubaliwa
na wewe inaonekana ni mkanyaga mafuta 🙂
Ukijibiwa Unitag tafadhaliD/O inamaana gan?
Ndiyo maana watawala wetu wanafanya watakalo kwasabb wanajua watanzania wengi ni matahirana bado waumini wa dar wamempokea na kushiriki nae katika ibada kama hakuna kitu kilicho tokea vile ambacho ni kibaya na kimeumiza hisia za watu wengi.........
hili taifa lina watu wengi vichaa
Hampaswi kufanya battle na Sisi tena sio level yetu nyinyi.We jamaa jinga kweli , yani unataka kuleta ile battle yenu ya Wachaga VS wahaya mpaka kwenye misiba.....
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Humu ndani tunasikiaga kuwa wachaga ni waisrael ,wana ufaham na maarifa ya kutosha,ndio wanaoendesha uchumi wa nchi kumbe mburura wakutupwa.Mnauana kwa ajili ya ujinga na upumbavuuu eti mafuta ya baraka kutoka kwa binadam mwenzako.Elimu ni muhim sana katika jamii yetu ya kitanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
I misunderstood at first.. i thought they were running for the distribution bt they were to step on it ratherOil was not meant to be distributed, but stepped on.